kesssyelias
JF-Expert Member
- Jul 13, 2017
- 280
- 316
Unapofoji cheti akiili zilieobaki ndo hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi sheria ya vyama vya siasa! Mtu kujiunga na chama fulani ni umri wa miaka ngapi!!! Ila tujue kama kauli ya Waziri wetu ni sahahi au alikuwa anachombeza tuu!Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.
Kumbe kina Erythrocyte wanatuzuga humu na thread za harakati kumbe walizaliwa ni wa kijani kibichi?Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.
Nacheka tu kama mazuri vile.Mwigulu anadhani watanzania wote ni wajinga kama wanyiramba wenzake
[emoji1787][emoji1787] ndio waziri wetu wa fedha huyu
Wote tuliozaliwa kabla ya 1993, wote sisi ni wanaCCM.
Tumekuja kubadilika baadae.
Minafikiri anathema kweli kwakuwa Tanzania ni ccm na ccm ni Tanzania maana Kuna Serikali ya Zanzibar na Serikali ya TanzaniaMwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.
Huyu Mwigulu ni bogus kabisaMwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.
Daah [emoji106]Mwenzako ana PHD isiyo ya dukani. Kafanya tafiti kagundua Watanzania wote ni CCM.
Hili ni anguko la elimu yetu
Haipendezi kumtukana.Matak**o kweli huyo
Hiyo nayo bajeti ??????? Inatusaidia Nini Sisi ,,,hayo ni mapambio tuMwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.
Hoyo ni sawa na kusema kila anayezaliwa anakuwa mwizi au mla rushwa.Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.
Hiyo ni sawa na kusema kila anayezaliwa anakuwa mwizi na mla rushwa.Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.
Ukweli ni kwamba Watanzania wote wanazaliwa wakiwa watu safi, lakini baadaye wale wanaojiunga na CCM wanaharibiwa akili na maadili na kuishia kuwa majizi, wala rushwa, wanafimi, walaghai na wauzaji wa rasilimali za Taifa.Yaa ni kweli kabisa Ila baadae watoto hao baadhi hukengeuka na kujiunga na vyama shikizi
Hajawahi kuwa na akili ya kujitegemeaMwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.
NyokochinyokoMwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.
Watu wengi wala hawafuatilii hiyo bajeti ya majizi ya kura.hii bajeti ni mwarobaini kwa walalahoi mkuu