Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Labda tuibadili jina Tanzania iwe Ccm, ili kila anayezaliwa awe MccmMwigulu kasema CCM ni chama kizuri kinachofuata demokrasia, na kila mtu anaezaliwa nchini anakuwa mwana CCM.
Ya kweli haya?
chadema machozi yanawalendalenga wakiona nchi inachanja mbugaHawa Wabunge wa hovyo wata vunja meza kwa makofi.
Yaa ni kweli kabisa Ila baadae watoto hao baadhi hukengeuka na kujiunga na vyama shikiziMwigulu kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila mtanzania apozaliwa nchini anakuwa mwana CCM.
Ya kweli haya?
.chadema machozi yanawalendalenga wakiona nchi inachanja mbuga
Hivi viumbe vyenye Dr...ni Waganga au?chadema machozi yanawalendalenga wakiona nchi inachanja mbuga
Na Rais wenu 2030🤣🤣 ndio waziri wetu wa fedha huyu
ugaidi tuh
hii bajeti ni mwarobaini kwa walalahoi mkuuHivi viumbe vyenye Dr...ni Waganga au?
Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.
C ajab hapo wabunge wamepiga meza vibao vya kutosha 🤣🤣🤣!!Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kuwaunga mkono katika utekelzaji wa ilani ya CCM 2020.
Akaendelea kwa kusema kuwa, CCM ni baba na mama wa Demokrasia na itaendelea kuvipa fursa sawa vyama vingine na vyenyewe viweze kufanya siasa kama ambavyo Rais Samia alivyoweza kulionesha hilo kwa vitendo, kila mwenye chama chake amepewa fursa ya kufanya siasa bila upendeleo wala uoga.
Kwako Mdau.