Mwigulu: Kila Mtanzania anapozaliwa anakuwa mwana CCM

Hivi sheria ya vyama vya siasa! Mtu kujiunga na chama fulani ni umri wa miaka ngapi!!! Ila tujue kama kauli ya Waziri wetu ni sahahi au alikuwa anachombeza tuu!
 
Kumbe kina Erythrocyte wanatuzuga humu na thread za harakati kumbe walizaliwa ni wa kijani kibichi?
 
"Kila Mtanzania anapozaliwa anakuwa ni mwana CCM aidha tutaendelea kuwashukuru wale wote wa vyama vingine kwa kuendelea kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea kutuunga mkono, CCM ni Baba na Mama wa demokrasia,"- Dk. Mwigulu Nchemba.

"Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi kuchochea shughuli za kiuchumi, sote ni mashahidi kuwa Chama cha Mapinduzi kimeendelea kuwa chaguo namba moja kwa Watanzaia hasa ukizingatia kuwa ndiyo chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo"- Dk. Mwigulu Nchemba.

#Bajeti2023/24
#BajetiKuuYaSerikali
 
Minafikiri anathema kweli kwakuwa Tanzania ni ccm na ccm ni Tanzania maana Kuna Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Tanzania
 
Huyu Mwigulu ni bogus kabisa
 
Hiyo nayo bajeti ??????? Inatusaidia Nini Sisi ,,,hayo ni mapambio tu
 
Hoyo ni sawa na kusema kila anayezaliwa anakuwa mwizi au mla rushwa.
 
Hiyo ni sawa na kusema kila anayezaliwa anakuwa mwizi na mla rushwa.

Mwigulu amewatukana sana Watanzania.
 
Yaa ni kweli kabisa Ila baadae watoto hao baadhi hukengeuka na kujiunga na vyama shikizi
Ukweli ni kwamba Watanzania wote wanazaliwa wakiwa watu safi, lakini baadaye wale wanaojiunga na CCM wanaharibiwa akili na maadili na kuishia kuwa majizi, wala rushwa, wanafimi, walaghai na wauzaji wa rasilimali za Taifa.
 
Hajawahi kuwa na akili ya kujitegemea
 
Nyokochinyoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…