Mwigulu: Kila Mtanzania anapozaliwa anakuwa mwana CCM

Safi sana Mwingulu mnapoambiwa lindeni kura yako muwe wasikivu.
 
Haipendezi kumtukana.

Akili yake tayari imeshafika beyond repair. Tumhurumie na kumuombea
Anatudharirisha sana,watu kama hawa yakitokea mapinduzi ndiyo huwa wanakuwa wa kwanza kuliwa vichwa
 
Tanzania dah!!! Ndiyo tuliowapa usukani hawa, akili zenyewe zinaishia hapo.
Mkifika kubinafsisha Ikulu, ningependelea kuwa dalali.
 
 
Nchi ina vijana wa ovyo sana wakiongozwa na huyu mbwiga Mwigulu
 
Labda Mungu awe amekufa! Kama Mungu aishivyo ntaongoza maombi ya kuzuia walafi wasiingie Ikulu. No. 1 - Mwigulo 2. Januaro 3. Riz1 4. Nepi
Hahaha siasa is the game of number, hao uliotaja is prepared na wamejiandaa usije ukadhani kila muda kuna mtu atasokomezwa, that was once and will never happen again, kama ulivolist 2030 the No1 ndo yeye na no2 ndo pm wake!!
 

Kiongozi mkubwa lazima atoe neno la faraja na kuamsha hamasa kwenye mambo ya kitaifa hasa yanayogusa maisha na hulka !

Ukweli ndiyo huo baada ya kuanza kutafuta upenyo utoke vipi ndipo wanazaliwa kina cuf , act chadema nk

Sababu ya yote haya ni ukubwa wa chama cha Mapinduzi wote hatutoshi kwenye chama kimoja hivyo lazima kuwe na upinzani ili wengine wapate kuongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…