Mwigulu: Kutekwa kwa Djumbe ni Michezo na haijaanza Jana

1. Kwamba watalaam wamemkamata mtu na anahtajika, lakn wakaamua kumuacha ndani ya gari mwenyewe ili watoke nje wote wapambane?
-tuna aina gani ya security personally ambao wanakosa nadharia ya "concentration on the aim/subject"

2. kwamba harakaraka golugwa akampigia simu mafwele akamwambia tuna djumbe hapa

3. kwamba risasi zililindima huko lakn hakuna watu wengne waliosikia hzo risasi tofauti na boda boda wenyewe

4. na yule rafki yake aliishia wapi?
 
Hao watu wanaolitafuta taifa letu kwanini msiwakamate?
Wanaofanya vitendo hivyo ni wenzake na Madelu.Hapo haiwezekani mbwa aukamate mkia wake mwenyewe na kuanza kuutafuna.Yaani mtu ashike dola,watu wehu wafanye uhuni hadharani halafu waziri "mkubwa" alalamike tu kwa maneno kwenye mikutano?Hivi,wanaona kila Mtanganyika ni kama nguchiro mjane?
 
Hao unaodhani ni wataalamu kila mara huonesha uzembe/wrecklessness/unprofessionals.Jana tu wengine wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua mfanyabiashara kijana wa 25 years of age kwa tamaa ya fedha.Tafakari.
 
Watekaji ni Polisi
 
Huko madarakani munang'ang'ani kufanya nini wakati kazi zimewashinda... michezo ipo kama WM mkuu anavyokiri, sasa anafanya nini hapo kazini? kazi zimewashinda, michezo imewashinda , waacheni Watanzania wenfinge nao wachukue madaraka na wazifanye kazi zilizo washinda...
 
Daaaaah huyu ndio anataka kuwawakilisha walutheri mwaka 2030 kwenye kugombea urais, mbona ni aibu sana.
 
Ukisikia kiburi cha madaraka na madharau yaliyokubuhu. Ama Abdul kamlazimisha aseme hivyo ili aendelee kuwa Waziri mkuu?
 
Bora angekaa kimya tu, wanajidhalilisha kimataifa na kuchafua sura ya nchi iliyokuwa kisiwa cha Amani, sasa hivi wageni wataanza kuogopa kuja Tanzania kwa kuhofia usalama wao,
 
Huyu amechanganyikwa. Mwigulu ni mmojawapo wa wanasiasa wa hovyo sana katika taifa hili.
Unaweza kueleza ni kivipi hakuna picha wala video ya bodaboda kulikimbiza gari wa watekaji ambao baadae walishuka wakiwa na bunduki na kupambana na boda kisha wakazidiwa?

Halafu hadi dereva akashuka kwenye gari na kumuacha mateka peke yake na kupata upenyo wa katoroka?..Hilo eneo hapakua na mtu mwenye smart phone?.. hakuna hata boda mmoja mwenye smart phone?
Huyo fala mtekwaji aminywe ppumbi vizuri ataje wenzake walioshiriki huo ucenge kisha wakanyee ndoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…