Mwigulu: Kutekwa kwa Djumbe ni Michezo na haijaanza Jana

Halafu utashangaa 2030 wanamtandao wakafanya manouver boga kama hili likakalia viti vyetu vya ikulu kama rais wa JMT!

Sasa kama ni michezo, ilikuwaje pale O'bay police wamemfungua pingu?
Kwa upumbavu kama huu ndiyo maana wapo tayari kuua ilimradi wasiachie ikulu.
Make wanaelewa fika kwamba siku waking'oka madarakani, watalazimia kukimbia Nchi kwa kuhofia malipo ya madhila waliyotenda kwa raia.
 
Nakubalina kabisa na Waziri mkuu kwamba hiyo ni michezo ya kutugombanisha .Lakini Nina maswali kwakwe.

1.Huyo mtu pingu alizitoa wapi? Na aliyepiga simu akasema akaripoti afunguliwe pingu maana zile pingu ni ngumu alijuaje huyo mtu ana pingu na ngumu kufunguka?

2.Kama mtu anatengeneza cinema kama ile yenye kuleta taharuki na kuhatarisha usalama wa Taifa letu kwanini asichukuliwe hatua ili kukomesha vitendo hivyo?

3.Inawezekanaje mtu mpaka akawa tayri kujiumiza na kitu butu kichwani hadi kuvuja damu na mikono kuwa na alama za pingu zilizokaa kwa mda mrefu kwa lengo la kutengeneza cinema je huyo mtu ananufaikaje na hali hiyo ikiwa ni hali ya maumivu na inaweza kumletea madhara kiafya?
 
Unamaanisha siku ile malaika wawili wamesimama kaburini mwako wakikusomea mashtaka kwa kiarabu huku sijdah yako kuubwa kama chapati kwenye paji lako jeusi ikimulika kama tochi?πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚
Jichekekeshe kama shoga mpevu, lkn siku hiyo ikifika utajua vizuri hiyo
 
Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimamia haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu… wala chuki ya watu isikufanyeni msiwe waadilifu. Fanyeni uadilifu; huo ndio uliyo karibu na uchamungu.” β€” Qur'an Surah Al-Maa’idah 5:8
 
Kisa tu jiwe moja jeusi mliolivika uungu na mila za kiarabu. Pathetic fool.

Disgusting!

adriz de mbusii
Kulikuwa na kafiri tena tajiri na msomi mkubwa kuliko wewe akileta kashfa kuliko weww, hivi sasa yupo hijja anafanya ibada. Na wewe mapepo yakikutoka kichwani utajua ukweli
 
Tuombe sana Mungu ili jamaa lisije kuwa Rais kwenye hii Nchi ya kufikirika! Ni limtu lenye Roho mbaya sana sana.

Laana ya Mungu iwe juu yake! Kwa uwezo wa Allah uenda nayeye yakamfika madhila makubwa inshallah! M/mungu atahukumu juu ya hawa madhalimu wote.
 
Jichekekeshe kama shoga mpevu, lkn siku hiyo ikifika utajua vizuri hiyo
Haya acha nijichekesheπŸ‘‡πŸΏ

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Your browser is not able to display this video.
 
Watanzania sio wapumbavu!
 
Kulikuwa na kafiri tena tajiri na msomi mkubwa kuliko wewe akileta kashfa kuliko weww, hivi sasa yupo hijja anafanya ibada. Na wewe mapepo yakikutoka kichwani utajua ukweli
Hahahahahaaaaa naye ana lisijdah kuubwaa kama chapati kwenye paji lake jeusi?
 
Aina hii ya viongozi ni janga kwa nchi. Kama ni michezo iliyoanza zamani, kwa nini wasiikomeshe? Au kazi yao ni nini kama serikali? Kulakamika kama wafanyavyo wananchi wasio na silaha za kujitetea dhidi ya hao watekaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…