Ama kwa hakika madaraka hulevya. Inafedhehesha sana pale mtu aliyepewa nafasi ya uongozi wa juu serikalini anapojitoa ufahamu kuhusu uwepo wa kero ya utekaji iliyotamalaki kwa kiwango cha juu katika utawala wa Samia Suluhu.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.
Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.
Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.
Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Kuna vitu si vya kuviongea kama waziri mkuu haswa pale hauna uhakika

Hatuwezi kuwa na Waziri Mkuu Mpumbavu kiasi hiki.

Hii kwako ni ajabu? Punguza ujuaji huna unachojua fala wewe.1. Kwamba watalaam wamemkamata mtu na anahtajika, lakn wakaamua kumuacha ndani ya gari mwenyewe ili watoke nje wote wapambane?
-tuna aina gani ya security personally ambao wanakosa nadharia ya "concentration on the aim/subject"
2. kwamba harakaraka golugwa akampigia simu mafwele akamwambia tuna djumbe hapa
3. kwamba risasi zililindima huko lakn hakuna watu wengne waliosikia hzo risasi tofauti na boda boda wenyewe
4. na yule rafki yake aliishia wapi?
Hivi mnajua kuna watu ambao ukimuona huwezi kuamini kama ni wajinga wa kutupwa ambao huwa wanaamini hizi kauli za wakina mwigulu kama zilivyo?nani sasa mwenye jukumu la kukomesha hiyo michezo???? Inasikitisha sana sometime ni bora wakanyamaza tu
Wakae kimya maovu yakiendelea? Watu watekwe , wauwawe halaf wakae kimya? ile iweje?Bora angekaa kimya tu, wanajidhalilisha kimataifa na kuchafua sura ya nchi iliyokuwa kisiwa cha Amani, sasa hivi wageni wataanza kuogopa kuja Tanzania kwa kuhofia usalama wao,
mwigulu aliua MKIRU! ndio maana ana uzoeffu na kuuaHuyu amechanganyikwa. Mwigulu ni mmojawapo wa wanasiasa wa hovyo sana katika taifa hili.
Mwanzon alijifanya anaiga style ya magufuli, baada ya kuzoea kile cheo amerudi kwenye uhalisia wake na maujinga yake.Wanamuita Rais wa Mawe
Kuamini hakulifanyi jambo kuwa kweli. Vipi kama maisha ndio haya haya, hakuna maisha mengine na tumeshindwa kuwawajibisha wakina Madelu, Samuya na CCM yao kwa ubaya mwingi waliotenda??Ndio maana sisi waislam tunaamini kutakua na siku ya hukumu mbele ya Allah ili maovu yote yaoneshwe na haki ipatikane siku hio.yaliofanyika gizani yaletwe hadharani. Hilo ndio lengo kuu la siku hio.
Ww si chawa usiyekuwa na akili, haishangazi...ww uko radhi kula hata mavii ya samuya!Naunga Mkono hoja ya Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba
Umekiri kuwa mm ni mjuaji halafu unadai mm ni falaHii kwako ni ajabu? Punguza ujuaji huna unachojua fala wewe.
Maneno haya yarudiwe mara tano.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.
Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.
Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.
Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Kweli CCM imeishiwa viongoziKazi mnayo! Eti ndio liwe Rais wa NCHI!