Mwigulu: Kutekwa kwa Djumbe ni Michezo na haijaanza Jana

Mwigulu: Kutekwa kwa Djumbe ni Michezo na haijaanza Jana
Mwigulu anawadharau sana Watanzania, anawaona wajinga, mazuzu, wapuuzi..

Mdude, Soka, Polepole, mzee Ali Kibao, Sativa, Mwangi wa Kenya, Agatha wa Uganda.. na wengine weengi wamefanyiwa michezo na nani??

Michezo kivipi wakati watekaji, wafiraji, wauaji ni wao ccm, tena wameweka wazi kupitia kauli zao wenyewe??


View: https://youtu.be/7-SSHMK94U0?si=XPs2ypedgccDQChx


View: https://youtu.be/oHRaUtvGzZI?si=uNeBiNlNE-uGEzny
 
mnapoilamu serikali niya kifisadi na Rushwa mnatakiwa kujitafakari..kupitia kauli hzi itoshe kusema Wananchi wamewekwa mifukoni mwa serikali... wakati wa kumbambania mabadiliko ya kimfumo uanze kwa kasi...MARIDHIANO YAFANYIKE ,KATIBA MPYA ikiwa sambamba na kufumua mifumo iliyo na mapungufu pamoja na kufumua mifumo ya vyama vyote vya siasa na kuanza upya...Ndipo wananchi watapewa nguvu ya maamuzi.
 
Sio kwamba Hana Akili lakini ukweli ni kwamba siasa ndio inamtaka mtu awe hivyo mnafki mtesi mkandamizaji wa haki

Ndio siasa ilivyo , siasa means to be Ambition hauwezi kuwa Ambitious if you're not ready to eliminate your Opponent
Kwahiyo ana akili ila hazitumii haya sawa
 
Kwahiyo ana akili ila hazitumii haya sawa
Akizitumia siitabidi aanze kutenda haki mpaka Kwa wapinzani wao, ukitenda haki tu means una wakaribisha wapinzani wako waweze kuchukua ulaji wako

Kitu ambacho ni threat Kwa ambitious
 
Maswali ya mtoto wa miaka kumi, kama una mtoto wa hivyo muulize…..
 
Jinga hilo michezo gani ya kujifunga pingu na kujipasua kichwa?
 
Hapo umefikiria mwenyewe😂😂
ila think tank za CCM ni janga la taifa.
Michezo inafanyika miaka yote hiyo na serikali Haina majibu, wanaishia kujilalamisha kwenye majukwaa! si ni kujidhalilisha huku?
 
Huyu amechanganyikwa. Mwigulu ni mmojawapo wa wanasiasa wa hovyo sana katika taifa hili.
Unakumbuka alivyosema Msingizia Alfred Lwakatare kwamba ni mtekaji? Akasema ana ushahidi kuanzia mbinguni hadi duniani? Tangia pale namuonaga hana akili wala Utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…