Kuna wakati aliwahi kusema CHADEMA ndio wanalipua mabomu, huyu alifaa kuwa mwenezi wa CCM tu ila sio kiongozi wa kitaifa wa kuunganisha na kuongoza watu.Unakumbuka alivyosema Msingizia Alfred Lwakatare kwamba ni mtekaji? Akasema ana ushahidi kuanzia mbinguni hadi duniani? Tangia pale namuonaga hana akili wala Utu
Dah huyu baba Kila siku anazidi kujidhalilisha 😅😅😅😅😅
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.
Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.
Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.
Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Lincoln once said "better remain silent and be thought a fool than to speak and remove all doubts"
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.
Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.
Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.
Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Wameamua kuchezewa na watu wanaowafahamu, huku wananchi wao wakiendelea kuumizwa na kutekwaKwahiyo mnajua ni michezo na mmetulia tu watanzania waendelee kuteseka na kuuawa? Hebu tuambie ni kwanini tuwaamini kuwa mnaweza kuwalinda watanzania na mali zao?
🚮🚮🚮🚮
Basi wao ndio hatari zaidi kwa taifa hili.Wameamua kuchezewa na watu wanaowafahamu, huku wananchi wao wakiendelea kuumizwa na kutekwa
One of the dumbest pm we ever had
Aiseee 🥲Basi wao ndio hatari zaidi kwa taifa hili.
Sema katika mawaziri wakuu waliowahi kuhudumu hiyo nafasi, kiukweli huyu wa sasa hajui kuongea hata kidogo. Haelewekagi yani. Hoja hawezi hata kuitetea, anaongeaongea mpangilio unaoeleweka.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.
Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.
Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.
Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Empty head

Inawezekanaje PM asielewe ukweli wa jambo hili?

Serikali ya MABASHITE ya Bibi Mtindi