Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Kafungwa mikono yote miwili na pingu halafu anatimua mbio kuelekea porini.Huyu ni shujaa kwelikweli na maswali ni mengi kuliko majibu !
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.
Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.
Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.
Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."

Sio kwamba uchawi upo ni kwamba kwa siasa za Tanzania watu wa ovyo ndio wanapewa nafasi ndio maana nchi haiendeleiHuyu amewezaje kuwa PM? Kweli uchawi upo
Aiseeee!!Sio kwamba uchawi upo ni kwamba kwa siasa za Tanzania watu wa ovyo ndio wanapewa nafasi ndio maana nchi haiendelei
Mpaka Sasa Polepole hajulikani polisi wamekaa kimya, mbunge wa ACT alitaka kulizungumzia bungeni kazimiwa mike, Gwajima kuzungumzia kuhusu utekwaji kafungiwa kabisa lake na Hadi sasa Serikali ipo kimya alafu anatokea mjinga mmoja kama Mwigulu anasema ni michezoKwa hyo bwana madelu unataka kusema.hawa wafuatao. Wamejiteka na wamefanya maigizo
Ali kibao
Azory gwanda
Mdude Nyagali
Vitu kama hv mnapoona vidogo wakat ss familia zetu zinateseka
Tukiingia barabarani mnaanza kusema nch za WATU wanaionea wivu Tanganyika
Mwigulu sikia mwaka huuu hautaisha lazma jambo kubwa litikise nchi na hapo akil zitawakaa sawa
Kwamba walienda kuigiza mbele ya geti la taasisi ya dola wenye Askari na silaha?Kafungwa mikono yote miwili na pingu halafu anatimua mbio kuelekea porini.Huyu ni shujaa kwelikweli na maswali ni mengi kuliko majibu !
kati ya watu wenye upeo mdogo sana halafu wenyewe wanajiona na wanajiamini wapo vizuri ni mwigulu na makonda , yani hawa ni vilaza sana basi tu nchi imetekwa na wahuni ndio wanao tuamulia mambo
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.
Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.
Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.
Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Muda wote anadhani yupo kwenye kampeni huyu jamaa kichwa box kabisa, hawa wanao jiita usalama wa taifa eti ndio wana fanya vetting ya viongozi nao wanatakiwa kufanyiwa vetting maana wanaleta wajinga kwenye madarakaKama waziri mkuu ndo anaongea hayo inaonesha taifa halipo salama tena! Waziri mkuu ni title kubwa mno!