Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Honestly speaking atafanya kazi kwa mazoea
 
Last edited by a moderator:
hakuna chama kilichoingia madarakani kikabadilisha nchi......huu ni uongo.....toeni mambo ya chama.....toeni ukaskazini.........tunajua ajenda yenu ni nini.
 
Mkuu unachangia hizi mbio za kupokezana vijiti? Kuna kitu naandika nakuomba sana kisome baadaye nikisha kiweka hapa.
 
Mkuu, Nafikiri swali ni je unaweza kuthibitisha kwa ushahidi usio na shaka kuhusu hayo machache. Kisha tunaweza kujadili hayo mengi.

Hii ni fursa yetu wapiga kura kuwajua hawa watu vyema
 
Pasco ulichoongea ni sahihi kwa 100%. Ifike mahali watanzania tuache ushabiki usio na tija ktk nchi yetu na vizazi vijavyo. Tuangalie mtu mwenye dhamira ya kweli/dhati na mikakati mbadala inayoweza kutupeleka mbele kama watanzania. Tuache kununuliwa na kudanganywa kama watoto wadogo kwa vijihela vya kupita na watu wenye uchu wa madaraka kwa hali na mali. Tusije tukajuta.
Nimemsikiliza Mwigulu, kusema kweli ktk watu ambao wameshatangaza nia, huyu jamaa kaongea vitu vya msingi na anaonekana nia ya dhati anayo na uwezo pia. Great thinkers ni wajibu wetu kuwachambua hawa watu na kuwaelemisha wenzetu. hongera sana Pasco for your brilliant observation
 
Yeye c ndo waziri fedha sasa kwanini ailaumu tena serikali aliyomo kuwa msd inaidai serikali?
 
Itakuwa Pasco alitegemea atapewa kazi ya kigawa vibahasha kwa Lowassa akapigwa chini.

Inabidi ajaribu bahati yake kwa Mwigulu.

Tukirudi kwenye mada, ni mapema sana ku judge, ngoja na wengine wote wanaojinadi watakapoisha.
 
Hata akiwa most genuine tatizo mfumo wa ccm inawenyewe subirini mwicho wa mchakamchaka
 
Mimi sikuweza kusikiliza hotuba ya Mwigulu kwa muda mfupi lakini niseme kwa dakika hizo kama tano hivi alinivutia mno....anajieleza kwa ufasaha na anamiliki jukwaa. I was very very very disappointed na Comrade Lowassa jana. Jamani kuna nini kumuhusu Lowassa?! Yaani alishindwa kabisa kulimiliki jjukwaa. Speech yake ilikuwa imeandaliwa na anasoma utadhani mkuu wa mkoa au wilaya anasoma hotuba mbele ya Rais. Wasaidizi wake walishindwa hata kuandaa jukwaa na vipaza sauti. Kila muda walikuwa wanagonga gonga vipaza sauti...Lowassa aliomba wimbo gani ule wa Komba lakini haukutokea...Sijui nani yule alikuja na helikopta....aliyepaswa kuja na helikopta ni Lowassa na sio mwingine. Yaani wasaidizi wake hata protocol hawajui. Lowassa ameshafika jukwaani mwingine anaingia na helikopta what is that????? yaani wasaidizi wake wanapita pita jukwaani mara kibonde mara yule aliyevaa kofia kama ya kinana. hawakujiaandaa It is a disaster kwa Lowassa It is possible wanamhujumu. Kwanini Lowassa asiwe na tmu nzuri? Yaani akiingia kwenye mdahalo......
 
Very true,Mwigulu Nchemba is the only man who can take Tanzania to higher levels.He told us how he will bring our Tanzania there,there where China,India ,Brasil are.Viva MWIGULU you are a visionary Leader.

Precisely so Victoire, indeed Mwigulu is the peculiar candate whom I think has the new vision that every Tanzania would like us to get
 
Una yako wewe
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikuweza kusikiliza hotuba ya Mwigulu kwa muda mfupi lakini niseme kwa dakika hizo kama tano hivi alinivutia mno....anajieleza kwa ufasaha na anamiliki jukwaa. I was very very very disappointed na Comrade Lowassa jana. Jamani kuna nini kumuhusu Lowassa?! Yaani alishindwa kabisa kulimiliki jjukwaa. Speech yake ilikuwa imeandaliwa na anasoma utadhani mkuu wa mkoa au wilaya anasoma hotuba mbele ya Rais. Wasaidizi wake walishindwa hata kuandaa jukwaa na vipaza sauti. Kila muda walikuwa wanagonga gonga vipaza sauti...Lowassa aliomba wimbo gani ule wa Komba lakini haukutokea...Sijui nani yule alikuja na helikopta....aliyepaswa kuja na helikopta ni Lowassa na sio mwingine. Yaani wasaidizi wake hata protocol hawajui. Lowassa ameshafika jukwaani mwingine anaingia na helikopta what is that????? yaani wasaidizi wake wanapita pita jukwaani mara kibonde mara yule aliyevaa kofia kama ya kinana. hawakujiaandaa It is a disaster kwa Lowassa It is possible wanamhujumu. Kwanini Lowassa asiwe na tmu nzuri? Yaani akiingia kwenye mdahalo......
 
Jibu swali wewe
 
Sasa tunataka Raisi ambae atakae kuwa sawa on both state (nakusudia tanganyika na zanzibar) sio mtu atakae pendelea upande moja. Hatutaki kiongozi atake kuja awe yeye anapendelea Zanzibar tu au upande wa tanganyika tu, Kama alivyokuwa mkapa yeye alitaka kuimarika upande wa tanganyika zaidi kukandamiza uchumi zanzibar. Na huyo unaempigia kampeni wewe ni mtu ambae ameshaonesha sign mapema kupendelea sehemu moja tu na hasa tukikumbuka wakati wa mchakato wa katiba mpya alivyokuwa akitoa hoja mbovu kupendelea sehemu moja. Vile Vile hayumo katika kundi la "most experienced" wala "The best brain".
Musijitaabishe sana Raisi atakaegombania kupitia CCM kwa mwaka wa 2015 anatangaza nia kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…