Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Its easy drafting sweet words and give it to the people. Mwigulu sijawahi kumkubali hasa wakati yupo bungeni anafanya siasa za maji taka. I discredited him as clean law maker.
Kati ya hao waliotangaza nia so far hakuna anaye na uwezo wa kututoa hapa tulipo kwenda mbele.
Watanzania tuache kuwa wasahaulifu, matatizo yote tuliokutana nayo miaka ya nyuma bado tunawachagua walewale waliotupa matatizo hayohayo.
Kamanda usikubali kuamini unachokihisi amini unachokiona! Tuna tatizo la kukubali kutawaliwa na hisia badala ya kile tunachokiona live ndio mana tunataka kupelekwa kwenye kuishi kwa matumaini sasaNahisi Mwigulu atatangaza kumuunga mkono lowassa na hii ni kwa ustadi mkubwa mno....kama huna akili basi huwezi kuliona hili.....
Ana maono ila kwa speech yake ya leo,hatoboi kura za maoni ndani ya ccm kwani watu wa kariba yake ni unwanted
mwigulu ameongea mambo mazito na ya msingi sana kwa watanzania. tatizo chama alichopo ndo tatizo. pia aliyoyasema kaipunguzia credit mbele ya jamii na serikali yake.