Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.