Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Kwa hali ilivyo Tanzania inatakiwa Wazee wenye busara zao ndio watoe tamko na kushikana mikono ila wakiendelea hawa watoza ushuru kutoa matamko ya namna hii mambo yataendelea kuwa ya hovyo zaidi sijui kwa nini wanakomaa wakati hali sio shwari mwanasiasa Mkongwe aliwahi kusema hawa vijana ni bomu la kesho wasipopata ajira ninyi mnakuja na matamo yanayokinzana kila kukicha..