Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Mange mwenyewe anatumika tu. Nimesema katika uzi wangu kuhusu hili la polisi.Basi aliyosema Mange kuwa kuna watu waliletwa ni kweli.
Mange juzi kasema kuna vifo pande zote huyu kathibitisha
Wananchi wanauliza wangapi wamedhurika, Serikali nayo inauliza wangapi wamedhurika. Wakati huo huo tumezuia uchunguzi huru. Nani sasa atatupa jibu?