Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
Watumbie pia waliua wangapi? Wamezika wangapi kwenye makaburi kama kondo, wamechoma wangapi kwenye viwanda kama wazo.
wananena kwa lugha kazi imeanzaUmesema wangapi walikuwa hata kiswahili hawaongei, au mimi sijamuelewa.
Anaongea upuuzi gani huyo fala, bado anadhani kuna wajinga wa hivyo. Ngoja tarehe 9 atanyoosha maelezo. Mpuuzi mkubwa huyo.“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
Bwana Mwigulu hao ambao walikuwa hawajui kiswahili sawasawa kamuulize ndugu Samia anajua alikowatoa.“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
Black ya uchaguzi kulikuwepo tetesi za kuingizwa nchini content lenye silaha,niulize vyombo vyetu vilichukua hatua gani?“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
Kwani raia waliodhurika tulishaambiwa?Karne hii wapendwa,uongo haufanyi kazi tena.
Ka
Black ya uchaguzi kulikuwepo tetesi za kuingizwa nchini content lenye silaha,niulize vyombo vyetu vilichukua hatua gani?
Pia kulikuwepo tetesi kwamba kuna watu askari wameazimwa kutoka nje kuja kutumika kwenye uchaguzi,je ni hatua gani zilichukuliwa?
Kipindi hiki ni kipindi cha kusema ukweli na ni ukweli tuu utatutoa hapa tulipo.