Mange mwenyewe anatumika tu. Nimesema katika uzi wangu kuhusu hili la polisi.Basi aliyosema Mange kuwa kuna watu waliletwa ni kweli.
Mange juzi kasema kuna vifo pande zote huyu kathibitisha
Hawa ndio wameunda tume ya kuchunguza kuelekea kwenye maridhiano??????“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
Nikweli wawe walikuwa awajui kiswahili au la ....lamsingi waliletwa kuua waandamanaji wazalendo na Samia na ccm ndiyo wahusika.Kama wao hawajui na hawataki kusema sisi tutajuaje, one thing for sure tunajua order ilitoka kwa lile shetani Samia daktari fake
Wameuana wenyewe kwa wenyewe. Baadhi ya askari waliwaua wenzao baada ya kuona wanafyatua risasi kwa watu hata wasio andamana. Mange amesema yote kabla ya huyu jamaa kuleta mafumbo.Basi aliyosema Mange kuwa kuna watu waliletwa ni kweli.
Mange juzi kasema kuna vifo pande zote huyu kathibitisha
Ataje sasa idadi ya waliodhurika“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
Tuna bahati mbaya sana kama nchi kuwa na viongozi waongo kama hawa.
Tabia gani mbaya hawana? 😂 Wametick checklist yote ya tabia mbovu wamemaliza 😅Sio waongo tyuu, ni Wanafiki na wauaji.
Hii mizwazwa sijui inadhani nasi wote ni mazwazwa. pumbaff malaaaya wewe mkubwa“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
Wewe ni mbwa na mshenzi sana, wewe ukiwa waziri wa mambo ya ndani ulihusika na mauaji ya watu wengi ukawaweka kwenye mifuko na kuwatupa mitoni.“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.