Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Polisi walidhurika vipi wakati wao ndiyo walikuwa na silaha za moto, na wao ndiyo waliopiga wananchi risasi za moto. Huyu Mwigulu aliyetuambia tuende Burundi hana akili hata moja. Ni mpumbavu wa kutosha.Mange mwenyewe anatumika tu. Nimesema katika uzi wangu kuhusu hili la polisi.
Wananchi wanauliza wangapi wamedhurika, Serikali nayo inauliza wangapi wamedhurika. Wakati huo huo tumezuia uchunguzi huru. Nani sasa atatupa jibu?
Mieusi ili asionekane macho yake anavodanganya.“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
Hivi mafwele sio Polisi, walio mteja Mduda Sio Polisi, wakiomsafirisha Mbilinyi toka Mbeya Hadi Iringa huku wamemkanyaga sio Polisi, walio wabala wale wake ya na Mganda sio Polisi, wakitoa kauli za udhi kabla ya maandamano na baada ya hapo sio Polisi na viongozi wa kisiasa .w“Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi mle hata kiswahili walikuwa hawaongei, na mnachochea muende tena? - Dkt. Nchemba.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa wilaya ya Ubungo, Mbezi Luis mkoani Dar es Salaam siku ya Jumatatu wakati wa ziara yake mkoani humo.
Si tuliona bungeni wanasimama kwa dakika moja kuwaombea waliotangulia mbele ya haki,au iliwahusu wasudani?Kwani raia waliodhurika tulishaambiwa?
Kufhurika maana yake kufa? Na kama wamekufa, wamezikwa wapi?Polisi walidhurika vipi wakati wao ndiyo walikuwa na silaha za moto, na wao ndiyo waliopiga wananchi risasi za moto. Huyu Mwigulu aliyetuambia tuende Burundi hana akili hata moja. Ni mpumbavu wa kutosha.