Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Yaani zinatajwa kila kitu ila hakuna kutaja idadi, ilitajwa idadi ya waliokufa kwwnye mv bukoba, ajali train kule Dodoma idadi ilitajwa, japokuwa na yenyewe namba zilipikwa, leo kutaja idadi ya waliokufa kwwnye maandamano ndio inamaanisha watu wanasherekea mauaji yaliyotokea?š¤£š¤£ Mwigulu, Watanzania sio wajinga sana.... eti nimekuwa imshono sana, na wewe ndugu wa Mc Pilipili wanakuzoom tu.... nachoka mimi mkwe wa Mwandambo!
====
Mwigulu amesema:
Tunaongelea maisha ya watu, ytunaongelea watu kupoteza wapendwa wao, haya si majengo, nchi ya aina gani ya kucelebrate maisha ya watu? Inabidi tuweke miiko, mtu amepotelewa na mpendwa wako wewe unapost?
Kwanini tunataka kushereka watu kupotea, nilidhani tukubali jambo kutokea, lakinintuko bize tunataka tuanze kuhesabu kama watoto wamezaliwa, mnataka tuanze kuhesabu kama mafanikio, mnataka tuhesabu kama magari, maisha ya watu?
Na wengine wanataja tu, hawako hatya hapa wanasema ni idadi hii, sehemu nyingine miili inawekwa kwenye plate number za magari ambako si za nchi hii, kuna sehemu mpaka taasisi ikaomba radhi kuwa picha iliyopostiwa si ya nchi hii.
Tunakubali kuwa kuna vifo vimetokea lakini tuheshimu familia walizopotezwa wapendwa wao, tuwape breki familia na haya. Ningetamani kuweka staha sana kwenye mambo yanayohusisha maisha ya watu. Kwasababu tume imeundwa tutoe nafasi ili tupaje mambo kwa uhakika.
Wanaofanya hili kama sherehe kuna jambo wanataka.