Mwigulu na Watoto Wake (Joshua na Isack) Jukwaani, Je ni mkakati wa kulinda Legacy ya Kisiasa?

Mwigulu na Watoto Wake (Joshua na Isack) Jukwaani, Je ni mkakati wa kulinda Legacy ya Kisiasa?

my first born floriana ni miongoni mwa wanasiasa chipkizi wanaokuja juu kuanzia chini, achilia mbali Kikwete kwa Ridhiwani au Mwigulu kwa kijana wake.

Binti yangu I'm sure, atakua among powerful figures in this country ukiachilia mbali florian ambae nae ana moto wa kisiasa mno but nampushi zaidi awe daktari 🐒
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna Maana yenyewe yanarithishana Mimatusi , uongo,uzushi na upayukaji
 
my first born floriana ni miongoni mwa wanasiasa chipkizi wanaokuja juu kuanzia chini, achilia mbali Kikwete kwa Ridhiwani au Mwigulu kwa kijana wake.

Binti yangu I'm sure, atakua among powerful figures in this country ukiachilia mbali florian ambae nae ana moto wa kisiasa mno but nampushi zaidi awe daktari 🐒
Huyu lazima nimle kichwa
 
Hakuna tatizo mwanasiasa akitamani wanae wawe wanasiasa katika mazingira yenye demokrasia. Kinyume chake ni hatari kwa future generation.
 
Hakuna sheria yoyote aliyovunja kuwatambulisha watoto wake hapo mkutanoni. Family first. Hata huko CHADEMA viongozi wengi wa juu wameshikamana na watoto wao.. Lema, Mbowe, Sugu na Lissu wapo karibu sana na familia na huwa wanawatambulisha kwa umma. Ninawapongeza kwa hilo. Tatizo ni hawa wafuasi mavi wanaoona Mwigulu anakosea. Nyie nyumbu wa ufipa wekeni familia kwanza mbele ya chochote.
 
Back
Top Bottom