Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Rudi shulemi na wewe nani mgumu wa kuelewa? rejea maelezo ya Mwigulu kw kina ukiw hujabeba mzigo wa chuki naye......then utaelewa alichokua ana maanisha.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi shulemi na wewe nani mgumu wa kuelewa? rejea maelezo ya Mwigulu kw kina ukiw hujabeba mzigo wa chuki naye......then utaelewa alichokua ana maanisha.....
Wameshajiweka kwenye nafasi ya nobles of the country, kama hat utapata katiba itakayosimamia tume huru 2025 watakuwa na nguvu zaidi.Waswahili husema, wajinga ndio wanaoliwa. Acha tuliwe 2025 inakuja wala sio mbali.
Shule ipi?Rudi shule
Mikopo hulipwa na wananchi wanapolipa kodi za kila namna iwe direct tax or indirect tax. Kw hiyo kwa kadiri mnavyokopa hovyo ndivyo mnavyoongeza mizigo ya kodi kwa wananchi. Sasa kwa nini utamke kuwa wananchi hawalipi madeni ya taifa lao? Hii ni dharau kubwa sana.Kwa nini viongozi wa serikali hupenda kuona watu kama wajinga na hawana akili?
Mlipopitisha tozo za serikali kwenye miamala ya simu ulitamka kwa dharau na kejeli kuwa asiyetaka kulipa tozo ahamie Burundi, bila kujali hata namna tozo zinavyoumiza wananchi.
Leo hii unatamka bila hata aibu kuwa mikopo ya serikali italipwa na serikali bila kumgongea mlango mwananchi yoyote nyumbani kwake. Hii inaingia akilini?
Mikopo hulipwa na wananchi wanapolipa kodi za kila namna iwe direct tax or indirect tax. Kw hiyo kwa kadiri mnavyokopa hovyo ndivyo mnavyoongeza mizigo ya kodi kwa wananchi. Sasa kwa nini utamke kuwa wananchi hawalipi madeni ya taifa lao? Hii ni dharau kubwa sana.
Acheni kuwaona wananchi wajinga kisa tu mpo madarakani.
ChekecheaShule ipi?
ndo nakata kitambaa hapa cha uniformChekechea