Mwigulu Nchemba acha kudanganya wananchi, mikopo hulipwa na watanzania wanapolipa kodi. Usipotoshe umma

Katika kosa ambalo wa tz tutafanya nikumpa huyo jamaa cheo kikubwa. Ni mtu hatari mno.
 
Waswahili husema, wajinga ndio wanaoliwa. Acha tuliwe 2025 inakuja wala sio mbali.
Wameshajiweka kwenye nafasi ya nobles of the country, kama hat utapata katiba itakayosimamia tume huru 2025 watakuwa na nguvu zaidi.
 
Msomi wa uchumi anatuongopea kweupe kuwa mikopo utalipwa na serikali.

Serikali ina hela kutoka .. what sources.. au anatuona sie ni kama job
 
Mikopo hulipwa na wananchi wanapolipa kodi za kila namna iwe direct tax or indirect tax. Kw hiyo kwa kadiri mnavyokopa hovyo ndivyo mnavyoongeza mizigo ya kodi kwa wananchi. Sasa kwa nini utamke kuwa wananchi hawalipi madeni ya taifa lao? Hii ni dharau kubwa sana.
 
ZERO KABISA.
tunaolipa na kuumia ni sisi wananchi ndo maana ukitoa hela Kuna makato ya miamala na UPUMBAVU MWINGINE UNAITWA TOZO YA SERIKALI.
Na kodi nyingine tunazokamuliwa .
Serikali inatoa wapi hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…