The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
"Mh. Spika nipongeze kwa dhati Simba kwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa mara nyingine tangu mwaka 1993. Simba inapokuwa ya kimataifa mimi huwa shabiki wake. Mafanikio haya ya Simba yanatokana na juhudi kubwa ya uwekezaji na Rais wa heshima wa timu Mohamed Dewji, hii si tu inaleta heshima kwa timu hiyo bal ina inatangaza nchi yetu katika ramani ya soka la kimataifa."
Hayo yamesemwa leo bungeni, jijini Dodoma, na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, wakati akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Hayo yamesemwa leo bungeni, jijini Dodoma, na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, wakati akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.