Mwigulu Nchemba anaweza akaongoza Iramba zaidi ya miaka 20, anacheza vizuri na siasa

For me I won't say much but without going against JF rules & regulations, and without offending anyone being true to my words and speaking in a language that anyone can understand,,,
I therefore say that I absolutely have nothing to say.
 
Na kwa Hali hii ya kuficha tabia zake mbaya mbele ya Mama Samia hivi karibuni ataanza kukonda!Kuficha tabia ni mbaya Sana kwa afya!
Umejuaje? Ndugu yangu aliyemowna hivi juzi juzi ananiambia tayari kishakonda!
 
Amehakikisha amemweka mdogo wake kwenye nafasi ya Uenyekiti wa Halmashauri ili kujihakikishia kuwa wanashika nafasi hizo tena 2025. Sahauuu!
 
For me I won't say much but without going against JF rules & regulations, and without offending anyone being true to my words and speaking in a language that anyone can understand,,,
I therefore say that I absolutely have nothing to say.
Ung'eng'e!
 
Back
Top Bottom