figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Madereva wanastahili Heshima,Hili la point ni noma,pia njiani police wamefanya kuwà dili kuchukua Hela!Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.
Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva.
Daadeq....Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.
Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva haraka iwezekanavyo
Bahi _Dodoma ni km 55,Kuna traffic Kila hatua kama 18 kweli mtafika saa ngapi konda anashuka na Kuacha posho la Maana hakuna wanachokagua!Wanalipwa mshahara, wenzako wanahangaika!SOLUTION IKO WAPI KILA KM 8 TRAFFIC YUPO
Zile numba hazikupelekwa popote. Vitisho vya Polisi tuDaadeq....
Na wale waliochomolewa number plate kwenye mabasi yao inakuwaje?