Mwigulu Nchemba, Dorothy Gwajima na Kitila Mkumbo mnashindwaje kuweka chuo kikuu au tawi hapa Singida ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Hawa wote ni wasomi waliosoma vyuo nje ya mkoa na elimu imeweza kuwasaidia, Kwa mamlaka waliyonayo waki team up sioni kinachoshindikana kuleta chuo kikuu ndani ya mkoa ili wanasingida wengi zaidi wanufaike.

Sio lazima kijengwe chuo kikuu kipya, linaweza kujengwa tawi la Udom, Udsm, Mzumbe, Must, n.k. wanasingida wachukue degree na masters zao za Law, Engineering, Accounting, Computer, Agri, n.k.

Kuna taasisi ya uhasibu Singida (TIA) lakini uwanja wa kozi ni mdogo, ni vema kujenga hata tawi la chuo kikuu kuwe na kozi za ziada

Chuo ni asset kubwa sana na wazawa wa sehemu kilipojengwa huwa wananufaika zaidi kwa kusoma kwa gharama ndogo na urahisi wa kuvifikia chuo.

Chuo ni kiwanda cha kuzalisha watu wanaoenda kushika nyadhifa mbali mbali kwenye mahakama, mashirika, majeshi, n.k.
 
Sio kipaumbele labda wafungue vya VETA

Wasomi wetu ni wengi ni mapimbi viazi..
 
Hawa wote ni wasomi waliosoma vyuo nje ya mkoa na elimu imeweza kuwasaidia, Kwa mamlaka waliyonayo waki team up sioni kinachoshindikana kuleta chuo kikuu ndani ya mkoa ili wanasingida wengi zaidi wanufaike.

Sio lazima kijengwe chuo kikuu kipya, linaweza kujengwa tawi la Udom, Udsm, Mzumbe, Must, n.k. wanasingida wachukue degree na masters zao za Law, Engineering, Accounting, Computer, Agri, n.k.

Chuo kikuu ni asset kubwa sana, ni kama kiwanda cha kuzalisha watu wanaoenda kushika nyadhifa mbali mbali kwenye mahakama, mashirika, majeshi, n.k. access ikiwa rahisi ni advantage kubwa

Aisee Mimi nitakuja kusoma, siyo kwa pisi kali za kinyaturu
 
Haha haha maendeleo haya letwi kwa kila waziri kujijengea chuo kikuu mahali anapotoka .

Hapo singida watoto wengi hawamalizi shule za primary na secondary, coz ya ugumu wa Maisha, miundo mbinu ya shule kuwa duni.

Hapo 👆 cha Kwanza ni kujinge chuo cha veta kitakacho waasaidia kwenye uzalishaji mali na kuengeza kipato kwenye nyanja mbalimabli za maendeleo ikiwemo kilimo cha alizeti cha kisasa,

mipango miji, uzazi wa mpango, afya ya uzazi na ustawi wa familia , usafi wa mazingira, nishati nafuu na salama kwa mazingira. Huduma nafuu za internet, maji salama na ya uhakika, umeme nafuu na wa uhakika

Nahayo yote yakitumia technology ya kisasa including AI.
 
Kama wataona singida mjini ni noma wakajenge huko iramba wanakotoka, pale misigiri, ndago na ulemo au shelui panafaa sana
 
Hawa wote ni wasomi waliosoma vyuo nje ya mkoa na elimu imeweza kuwasaidia, Kwa mamlaka waliyonayo waki team up sioni kinachoshindikana kuleta chuo kikuu ndani ya mkoa ili wanasingida wengi zaidi wanufaike.

Sio lazima kijengwe chuo kikuu kipya, linaweza kujengwa tawi la Udom, Udsm, Mzumbe, Must, n.k. wanasingida wachukue degree na masters zao za Law, Engineering, Accounting, Computer, Agri, n.k.

Chuo kikuu ni asset kubwa sana, ni kama kiwanda cha kuzalisha watu wanaoenda kushika nyadhifa mbali mbali kwenye mahakama, mashirika, majeshi, n.k. access ikiwa rahisi ni advantage kubwa
Haha haha maendeleo haya letwi kwa kila waziri kujijengea chuo kikuu mahali anapotoka .

Hapo singida watoto wengi hawamalizi shule za primary na secondary, coz ya ugumu wa Maisha, miundo mbinu ya shule kuwa duni.

Hapo 👆 cha Kwanza ni kujinge chuo cha veta kitakacho waasaidia kwenye uzalishaji mali na kuengeza kipato kwenye nyanja mbalimabli za maendeleo ikiwemo kilimo cha alizeti cha kisasa,

mipango miji, uzazi wa mpango, afya ya uzazi na ustawi wa familia , usafi wa mazingira, nishati nafuu na salama kwa mazingira. Huduma nafuu za internet, maji salama na ya uhakika, umeme nafuu na wa uhakika

Nahayo yote yakitumia technology ya kisasa including AI.
Wahimiza,ukanda,ubaguzi na upendeleo ndiyo ile timu ihubiriyo amani bila haki kwa manufaa yao,iwapo ndiyo sera watatenda ili kukuridhisha na kuwaridhisha wenzao wanaoimba wimbo wa amani ikiwa ni kificho cha maovu yao!
 
Wale ni wanyiramba mjuba, unyaturuni wataona sio poa, basi wakajenge kwao ilamba nkulu kuliko tanzania
 
Sasa kwa Nini kijengwe chuo kikuu kingine ukanda wa Kati apo si kuna saint Joseph na udom vinatosha kabisa
 
Haha haha maendeleo haya letwi kwa kila waziri kujijengea chuo kikuu mahali anapotoka .

Hapo singida watoto wengi hawamalizi shule za primary na secondary, coz ya ugumu wa Maisha, miundo mbinu ya shule kuwa duni.

Hapo 👆 cha Kwanza ni kujinge chuo cha veta kitakacho waasaidia kwenye uzalishaji mali na kuengeza kipato kwenye nyanja mbalimabli za maendeleo ikiwemo kilimo cha alizeti cha kisasa,

mipango miji, uzazi wa mpango, afya ya uzazi na ustawi wa familia , usafi wa mazingira, nishati nafuu na salama kwa mazingira. Huduma nafuu za internet, maji salama na ya uhakika, umeme nafuu na wa uhakika

Nahayo yote yakitumia technology ya kisasa including AI.
Unaongea kwa mihemko bila facts, kuna maelfu ya wanafunzi humaliza form 4 na form 6 kila mwaka Singida na wenye sifa za kwenda vyuoni wapo wengi

Tayari kuna chuo cha kati cha uhasibu lakini kuna wengine wanahitaji kusoa kozi nyingine
 
Pale BUKOBA udsm wameshaweka tawi

Namshukuru Balozi Bashiru Ally

Mkoa wa Kagera wa watu wenye IQ kubwa Sana kuliko watanzania wote kukosa chuo kikuu ilikuwa Aibu kubwa.
 
Kazi bado haijamalizika inabidi kuwepo na umakini kwa kozi zinazoenda kuwekwa na aina ya elimu.

Chuo unakuta kinakuwa tawi la udsm la elimu ya uvuvi wa samaki ili kuendana na rasilimali za Kagera,
 
Sisi wahaya kozi zetu zinajulikana tangia zamani
 
Unaongea kwa mihemko bila facts, kuna maelfu ya wanafunzi humaliza form 4 na form 6 kila mwaka Singida na wenye sifa za kwenda vyuoni wapo wengi

Tayari kuna chuo cha kati cha uhasibu lakini kuna wengine wanahitaji kusoa kozi nyingine

Kwamba ni lazima wasome singida, wasomi gani hao wanakua local tu kwa kila kitu
 
Sisi wahaya kozi zetu zinajulikana tangia zamani
Hilo wanalijua basi ? mfano mzuri Kanda ya ziwa wana umaarufu wa kupenda kozi za engineering, chuo cha DIT kilijengwa Mwanza unajua kozi walizoweka ? wamejaza kozi za fashion na mambo ya ngozi za mbuzi hakuna kozi za Engineering.

Hicho ndicho nahofia watakifanya na Kagera, Chuo kitajengwa ila hakitaweka kozi z
 
Sisi wahaya kozi zetu zinajulikana tangia zamani
Hilo wanalijua basi ? mfano mzuri mikao kama Mwanza wanapenda kozi za engineering, chuo cha DIT kilijengwa unajua kozi walizoweka ? wamejaza kozi za fashion na mambo ya kushona viatu vya ngozi hakuna kozi za Engineering.

Hicho ndicho nahofia watakifanya na Kagera, Chuo kitajengwa ila kitaweka kozi tofauti kabisa, usishangae wakifanye kampasi ya kozi za samaki

Na kawaida ya matawi ya Udsm huwa specialized, mfano Iringa ni chuo cha walimu
 
Back
Top Bottom