Mwigulu Nchemba, Dorothy Gwajima na Kitila Mkumbo mnashindwaje kuweka chuo kikuu au tawi hapa Singida ?

Mwigulu Nchemba, Dorothy Gwajima na Kitila Mkumbo mnashindwaje kuweka chuo kikuu au tawi hapa Singida ?

Unaongea kwa mihemko bila facts, kuna maelfu ya wanafunzi humaliza form 4 na form 6 kila mwaka Singida na wenye sifa za kwenda vyuoni wapo wengi

Tayari kuna chuo cha kati cha uhasibu lakini kuna wengine wanahitaji kusoa kozi nyingine

Mkuu siongei kwa mihemiko .
Mkuu jiulize TU wewe mwenyewe hapo 👆 singida vyuo vya veta viko vingapi.
 
Mkuu siongei kwa mihemiko .
Mkuu jiulize TU wewe mwenyewe hapo 👆 singida vyuo vya veta viko vingapi.
Post inahusu vyuo vinavyotoa academic education sio vocational training

VETA ni vocational training na vimesambaa mikoa yote
 
Post inahusu vyuo vinavyotoa academic education sio vocational training

VETA ni vocational training na vimesambaa mikoa yote
Mkuu udom ni chuo kikubwa sana .
Hivi unajua udom ina wapungufu ya wanafunzi ..

Dodoma na singida ni karibu TU,
Kujenga chuo kikuu singida kwa masomo Yale Yale yanayofundishwa udom,
Haya ni matumizi mabaya ya fedha
 
Haha haha maendeleo haya letwi kwa kila waziri kujijengea chuo kikuu mahali anapotoka .

Hapo singida watoto wengi hawamalizi shule za primary na secondary, coz ya ugumu wa Maisha, miundo mbinu ya shule kuwa duni.

Hapo 👆 cha Kwanza ni kujinge chuo cha veta kitakacho waasaidia kwenye uzalishaji mali na kuengeza kipato kwenye nyanja mbalimabli za maendeleo ikiwemo kilimo cha alizeti cha kisasa,

mipango miji, uzazi wa mpango, afya ya uzazi na ustawi wa familia , usafi wa mazingira, nishati nafuu na salama kwa mazingira. Huduma nafuu za internet, maji salama na ya uhakika, umeme nafuu na wa uhakika

Nahayo yote yakitumia technology ya kisasa including AI.
Vyuo vya mchepuo wa ufundi hapa mjini vipo kama vitatu, VETA, FDC na kile cha Sababa Maboresho


Yote kwa yote sehumu muhimu na umegusia vijana wa Hapa wengi HAwamalizi shule Kumkuta Dogo kaishia darasa la 6 au kidato cha Pili ni kawaida sana na wengi wanafukuzia kuendesha bajaj tu
 
Unaongea kwa mihemko bila facts, kuna maelfu ya wanafunzi humaliza form 4 na form 6 kila mwaka Singida na wenye sifa za kwenda vyuoni wapo wengi

Tayari kuna chuo cha kati cha uhasibu lakini kuna wengine wanahitaji kusoa kozi nyingine
Aliekwambia Chuo cha kati ni nani pale TIA kile sio chuo ni taasisi inayotoa Elimu ya kati na Juu!!


Nipo Singida vijana wengi wa hapa ni Wajinga sijapata kuona wao na shule ni kama kuoga wakat wa baridi kali sana kama huaminin nicheki nikuelekeze mitaa ninayokaa nikuoneshe vijana ambao wao na shule ni Tatizo
 
Back
Top Bottom