Dorothy Gwajima ni MnyirambaIs Dorothy pare or nyiramba ?
Hawa wote ni wasomi waliosoma vyuo nje ya mkoa na elimu imeweza kuwasaidia, Kwa mamlaka waliyonayo waki team up sioni kinachoshindikana kuleta chuo kikuu ndani ya mkoa ili wanasingida wengi zaidi wanufaike.
Sio lazima kijengwe chuo kikuu kipya, linaweza kujengwa tawi la Udom, Udsm, Mzumbe, Must, n.k. wanasingida wachukue degree na masters zao za Law, Engineering, Accounting, Computer, Agri, n.k.
Chuo kikuu ni asset kubwa sana, ni kama kiwanda cha kuzalisha watu wanaoenda kushika nyadhifa mbali mbali kwenye mahakama, mashirika, majeshi, n.k. access ikiwa rahisi ni advantage kubwa
I thought she's Pare...Dorothy Gwajima ni Mnyiramba

Wahimiza,ukanda,ubaguzi na upendeleo ndiyo ile timu ihubiriyo amani bila haki kwa manufaa yao,iwapo ndiyo sera watatenda ili kukuridhisha na kuwaridhisha wenzao wanaoimba wimbo wa amani ikiwa ni kificho cha maovu yao!Haha haha maendeleo haya letwi kwa kila waziri kujijengea chuo kikuu mahali anapotoka .
Hapo singida watoto wengi hawamalizi shule za primary na secondary, coz ya ugumu wa Maisha, miundo mbinu ya shule kuwa duni.
Hapo 👆 cha Kwanza ni kujinge chuo cha veta kitakacho waasaidia kwenye uzalishaji mali na kuengeza kipato kwenye nyanja mbalimabli za maendeleo ikiwemo kilimo cha alizeti cha kisasa,
mipango miji, uzazi wa mpango, afya ya uzazi na ustawi wa familia , usafi wa mazingira, nishati nafuu na salama kwa mazingira. Huduma nafuu za internet, maji salama na ya uhakika, umeme nafuu na wa uhakika
Nahayo yote yakitumia technology ya kisasa including AI.
Unaongea kwa mihemko bila facts, kuna maelfu ya wanafunzi humaliza form 4 na form 6 kila mwaka Singida na wenye sifa za kwenda vyuoni wapo wengiHaha haha maendeleo haya letwi kwa kila waziri kujijengea chuo kikuu mahali anapotoka .
Hapo singida watoto wengi hawamalizi shule za primary na secondary, coz ya ugumu wa Maisha, miundo mbinu ya shule kuwa duni.
Hapo 👆 cha Kwanza ni kujinge chuo cha veta kitakacho waasaidia kwenye uzalishaji mali na kuengeza kipato kwenye nyanja mbalimabli za maendeleo ikiwemo kilimo cha alizeti cha kisasa,
mipango miji, uzazi wa mpango, afya ya uzazi na ustawi wa familia , usafi wa mazingira, nishati nafuu na salama kwa mazingira. Huduma nafuu za internet, maji salama na ya uhakika, umeme nafuu na wa uhakika
Nahayo yote yakitumia technology ya kisasa including AI.
Sio lazima kijengwe chuo kikuu wanaweza kujenga hata tawiSasa kwa Nini kijengwe chuo kikuu kingine ukanda wa Kati apo si kuna saint Joseph na udom vinatosha kabisa
Kazi bado haijamalizika inabidi kuwepo na umakini kwa kozi zinazoenda kuwekwa na aina ya elimu.Pale BUKOBA udsm wameshaweka tawi
Namshukuru Balozi Bashiru Ally
Mkoa wa Kagera wa watu wenye IQ kubwa Sana kuliko watanzania wote kukosa chuo kikuu ilikuwa Aibu kubwa.
Kazi bado haijamalizika inabidi kuwepo na umakini kwa kozi zinazoenda kuwekwa na aina ya elimu.
Chuo unakuta kinakuwa tawi la udsm la elimu ya uvuvi wa samaki ili kuendana na rasilimali za Kagera,
Unaongea kwa mihemko bila facts, kuna maelfu ya wanafunzi humaliza form 4 na form 6 kila mwaka Singida na wenye sifa za kwenda vyuoni wapo wengi
Tayari kuna chuo cha kati cha uhasibu lakini kuna wengine wanahitaji kusoa kozi nyingine
Hilo wanalijua basi ? mfano mzuri Kanda ya ziwa wana umaarufu wa kupenda kozi za engineering, chuo cha DIT kilijengwa Mwanza unajua kozi walizoweka ? wamejaza kozi za fashion na mambo ya ngozi za mbuzi hakuna kozi za Engineering.Sisi wahaya kozi zetu zinajulikana tangia zamani
Hilo wanalijua basi ? mfano mzuri mikao kama Mwanza wanapenda kozi za engineering, chuo cha DIT kilijengwa unajua kozi walizoweka ? wamejaza kozi za fashion na mambo ya kushona viatu vya ngozi hakuna kozi za Engineering.Sisi wahaya kozi zetu zinajulikana tangia zamani