Unaongea kwa mihemko bila facts, kuna maelfu ya wanafunzi humaliza form 4 na form 6 kila mwaka Singida na wenye sifa za kwenda vyuoni wapo wengi
Tayari kuna chuo cha kati cha uhasibu lakini kuna wengine wanahitaji kusoa kozi nyingine
Post inahusu vyuo vinavyotoa academic education sio vocational trainingMkuu siongei kwa mihemiko .
Mkuu jiulize TU wewe mwenyewe hapo π singida vyuo vya veta viko vingapi.
Mkuu udom ni chuo kikubwa sana .Post inahusu vyuo vinavyotoa academic education sio vocational training
VETA ni vocational training na vimesambaa mikoa yote
Vyuo vya mchepuo wa ufundi hapa mjini vipo kama vitatu, VETA, FDC na kile cha Sababa MaboreshoHaha haha maendeleo haya letwi kwa kila waziri kujijengea chuo kikuu mahali anapotoka .
Hapo singida watoto wengi hawamalizi shule za primary na secondary, coz ya ugumu wa Maisha, miundo mbinu ya shule kuwa duni.
Hapo π cha Kwanza ni kujinge chuo cha veta kitakacho waasaidia kwenye uzalishaji mali na kuengeza kipato kwenye nyanja mbalimabli za maendeleo ikiwemo kilimo cha alizeti cha kisasa,
mipango miji, uzazi wa mpango, afya ya uzazi na ustawi wa familia , usafi wa mazingira, nishati nafuu na salama kwa mazingira. Huduma nafuu za internet, maji salama na ya uhakika, umeme nafuu na wa uhakika
Nahayo yote yakitumia technology ya kisasa including AI.
Aliekwambia Chuo cha kati ni nani pale TIA kile sio chuo ni taasisi inayotoa Elimu ya kati na Juu!!Unaongea kwa mihemko bila facts, kuna maelfu ya wanafunzi humaliza form 4 na form 6 kila mwaka Singida na wenye sifa za kwenda vyuoni wapo wengi
Tayari kuna chuo cha kati cha uhasibu lakini kuna wengine wanahitaji kusoa kozi nyingine