Mwigulu Nchemba, hata kama Magufuli hayupo hai ulipaswa kumheshimu

Acha kutisha watu mkuu. Punguza mapovu hayo.
 
Jk kuwa mshauri mkuu wa Raisat Samia sioni kama ni shida.ndio rais mstaafu pekee aliye hai kwa sasa
Acha uongo wako au utakuwa kilaza mkubwa sana eti JK ndiye rais mstaafu pekee aliye hai kwa sasa
 
Mzee Mwinyi mwenyewe kwa sasa hata hakumbuki kama aliwahi kuwa Rais. Uzee Raha Sana.
Uko sahihi... Lakini haiondoi ukweli kwamba aliwahi kuongoza nchi na anaweza kuchangia chechote kutokana na uzoefu wake.
 
Punguza jazba. Alichokisema Mwigulu ni kweli tupu. Hii nchi inaongozwa kutoka Msoga.
Mimi nilisema mapema sana alipoapishwa Madam SSH kuwa uongozi wa Kikwete umerudi.
 
naweza kuwa unpopular minister of finance ila ni lazima mambo yaende.Nikipendwa na wapiga kura wangu na mashabiki wa Yanga inatosha" -@mwigulunchemba
 
Mwigulu mzee wa kwenda na biti....muwekee biti lolote anatambaa nalo...
 
Hayati Ametoa sana kadi nyekundu na wakati mwingine hazieleweki.

Hizo kadi zao zina maana pana sana, wote wameijenga hii Tanzania.

Tupunguze huu upuuzi wa kujiona tupo perfect mawazoni mwetu we are human beings born to go astray sometimes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…