Mwigulu Nchemba hujaajiriwa na mitandao, majibu yao kwako yanadhalilisha nafasi yako ya Uwaziri. Kaa kimya...

Mwigulu pia ni chanzo kingine cha watoto wajawazito kufukuzwa shule-Alisikika bungeni akitetea watoto wenye Mimba wafukuzwe shule
 
Waswahili walisema, la kuvunda, halina ubani.

Wewe unalichomea ubani la kuvunda.
 
 
Hahahahaaha...
Hilo zigo siyo la jiwe tena?
 
Ana haki kama mtanzania wewe unataka nini
 
Mwigulu Nchemba
Em njoo huku utueleze kwa nini unadandia kazi ya wizara isiyokuhusu, ya MAMBO YA NDANI 🙄
 
Waziri wa katiba na sheria hanaga kazi nyingi yeye yupo kisiasa tu.

Kazi zote zipo Kwa Jaji mkuu na Mwanasheria mkuu wa serikali.

So Mwigullu Nchemba kushinda twitter ni sawa tu ila Kigwangalla alikuwa anaongoza wizara kubwa sana!
 
Magufuli angepewa hata sekunde moja tu aje atamke COVID-19 is real!!
Kwa akili yako kiduchu bado unaamini katika corona, shida unashindwa kwenda na kasi ya dunia.Subiri leo resolution ya WHO kuhusu chanjo. Jibisidha kujisomea usidandia yayopitwa na wakati
 
Mwigulu Nchemba ni aina fulani ya kichaa.Anahitaji therapy.
 
Kwa akili yako kiduchu bado unaamini katika corona, shida unashindwa kwenda na kasi ya dunia.Subiri leo resolution ya WHO kuhusu chanjo. Jibisidha kujisomea usidandia yayopitwa na wakati
Umeandika kwa hasira kali sana kiasi umekisea mno maneno!!

Vipi Magufuli yu hali gani?
 
HAKUNA MTU MNAFIKI KAMA MWIGULU NCHEMBA ...WAKATI AMEONDOLEWA UWAZIRI ALIKUWA AKIMSEMA SANA VIBAYA MAGUFULI ....

NDIO MAANA TUNDU AMBAYE NI KABILA MOJA KAMKUMBUSHA KUWA AACHE UNAFIKI NA AKAMKUMBUSHA YEYE NDIO ALIKUWA HAISHI KULALAMIKA NAMNA MAGUFULI ANAVYOENDESHA NCHI KIKATILI ...
 
Lakini si nasikia kasoma sana uchumi kumzidi hata professor kigoma malima?..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…