mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Mwigulu ni bonge la opportunist. (sijui nimepata kiinglish au nimetukana)..labda mwenzenu ameona mbali kaamua afukuzie uteuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwigulu ni bonge la opportunist. (sijui nimepata kiinglish au nimetukana)..labda mwenzenu ameona mbali kaamua afukuzie uteuzi.
Eeeenh,
Hivi anakumbuka alitumbuliwa na kile kidada pale wizara ya mambo ya ndani?
Hawa watu hawana hata chembe ya aibu.
Waswahili walisema, la kuvunda, halina ubani.Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.
Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.
Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.
Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.
Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Mwingulu anachokijua ni kula njama za kunyamazisha watu kunyanyasa wapinzani si zaidi ya hapo
[/UOTE]
Lwakatare na wengine ila L. aliteswa saana mpaka kulazwa kwa vipodo na mateso ya mwili aliyopata,
Shida wakirudi huwa hawatuhadithii yaliyowakuta huko mbingu ya mateso.
😂PhD za uswahilini hizi...
View attachment 1727631
Hahahahaaha...Ni kweli kwani hata vifo vya corona vimechangiwa na yeye kukataza kutangaza takwimu za vifo matokeo yake wananchi wakaichukulia poa corona wakaacha kuvaa barakoa kunawa mikono na kuendelea na salam za kushikana mikono ambazo ni kiambukizi kikubwa zaidi na zaidi, watu wote waliokufa kwa Corona lazima Dhambi zimwendee Mwigulu Nchemba kwa kusababisha hilo janga kuenea kwa kasi kubwa Nchini Tanzania
Hana haiba, busara, hekima... ya level ya uraisAliutaka Urais na bado ana ndoto za kuwa
Ana haki kama mtanzania wewe unataka niniMwigulu you don't have a dog in this fight.
This fight is, we the people against the dictator, so stay away! .
If you side with the dictator then you are legit to suffer our wrath.
Kwani huwezi kufanya kazi zako za uwaziri mpaka ujiweke kimbelembele ili uonekane unampigania?
Mwigulu NchembaWaziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.
Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.
Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.
Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.
Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Waziri wa katiba na sheria hanaga kazi nyingi yeye yupo kisiasa tu.Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.
Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.
Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.
Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.
Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Kwa akili yako kiduchu bado unaamini katika corona, shida unashindwa kwenda na kasi ya dunia.Subiri leo resolution ya WHO kuhusu chanjo. Jibisidha kujisomea usidandia yayopitwa na wakatiMagufuli angepewa hata sekunde moja tu aje atamke COVID-19 is real!!
Mwigulu Nchemba ni aina fulani ya kichaa.Anahitaji therapy.Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.
Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.
Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.
Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.
Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Umeandika kwa hasira kali sana kiasi umekisea mno maneno!!Kwa akili yako kiduchu bado unaamini katika corona, shida unashindwa kwenda na kasi ya dunia.Subiri leo resolution ya WHO kuhusu chanjo. Jibisidha kujisomea usidandia yayopitwa na wakati
Lakini si nasikia kasoma sana uchumi kumzidi hata professor kigoma malima?..!!Huyo hakuwahi kujua majukumu yake, unakalia wizara yeye watu wasomi kama MAHAKIMU,MAJAJI, MUHIMILI WA MAHAKAMA upo chini yako lakini leo unahangaika kutwa nzima na mambo madogo madogo. Mwigulu kufanya kazi serikalini hawezi hata kidogo. Huyu alitakiwa abakie kwenye chama aendelee ku-editi video kama zile za kina Lwakatare.
nilijua lazima utajitokeza dada , vipi lakini watoto wako hawajambo ?Utaendelea kuwa mfagizi hapohapo ufipa
Naogopa ku-like🙈Mawaziri walikuwepo enzi zile. siku hizi kuna wachumia tumbo wenye minyoo kichwani.