Mwigulu Nchemba hujaajiriwa na mitandao, majibu yao kwako yanadhalilisha nafasi yako ya Uwaziri. Kaa kimya...

Mwigulu pia ni chanzo kingine cha watoto wajawazito kufukuzwa shule-Alisikika bungeni akitetea watoto wenye Mimba wafukuzwe shule
 
Eeeenh,

Hivi anakumbuka alitumbuliwa na kile kidada pale wizara ya mambo ya ndani?

Hawa watu hawana hata chembe ya aibu.
giphy.gif
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Waswahili walisema, la kuvunda, halina ubani.

Wewe unalichomea ubani la kuvunda.
 
Mwingulu anachokijua ni kula njama za kunyamazisha watu kunyanyasa wapinzani si zaidi ya hapo
[/UOTE]
Lwakatare na wengine ila L. aliteswa saana mpaka kulazwa kwa vipodo na mateso ya mwili aliyopata,
Shida wakirudi huwa hawatuhadithii yaliyowakuta huko mbingu ya mateso.
 
Ni kweli kwani hata vifo vya corona vimechangiwa na yeye kukataza kutangaza takwimu za vifo matokeo yake wananchi wakaichukulia poa corona wakaacha kuvaa barakoa kunawa mikono na kuendelea na salam za kushikana mikono ambazo ni kiambukizi kikubwa zaidi na zaidi, watu wote waliokufa kwa Corona lazima Dhambi zimwendee Mwigulu Nchemba kwa kusababisha hilo janga kuenea kwa kasi kubwa Nchini Tanzania
Hahahahaaha...
Hilo zigo siyo la jiwe tena?
 
Mwigulu you don't have a dog in this fight.

This fight is, we the people against the dictator, so stay away! .

If you side with the dictator then you are legit to suffer our wrath.

Kwani huwezi kufanya kazi zako za uwaziri mpaka ujiweke kimbelembele ili uonekane unampigania?
Ana haki kama mtanzania wewe unataka nini
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Mwigulu Nchemba
Em njoo huku utueleze kwa nini unadandia kazi ya wizara isiyokuhusu, ya MAMBO YA NDANI 🙄
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Waziri wa katiba na sheria hanaga kazi nyingi yeye yupo kisiasa tu.

Kazi zote zipo Kwa Jaji mkuu na Mwanasheria mkuu wa serikali.

So Mwigullu Nchemba kushinda twitter ni sawa tu ila Kigwangalla alikuwa anaongoza wizara kubwa sana!
 
Magufuli angepewa hata sekunde moja tu aje atamke COVID-19 is real!!
Kwa akili yako kiduchu bado unaamini katika corona, shida unashindwa kwenda na kasi ya dunia.Subiri leo resolution ya WHO kuhusu chanjo. Jibisidha kujisomea usidandia yayopitwa na wakati
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Mwigulu Nchemba ni aina fulani ya kichaa.Anahitaji therapy.
 
Kwa akili yako kiduchu bado unaamini katika corona, shida unashindwa kwenda na kasi ya dunia.Subiri leo resolution ya WHO kuhusu chanjo. Jibisidha kujisomea usidandia yayopitwa na wakati
Umeandika kwa hasira kali sana kiasi umekisea mno maneno!!

Vipi Magufuli yu hali gani?
 
HAKUNA MTU MNAFIKI KAMA MWIGULU NCHEMBA ...WAKATI AMEONDOLEWA UWAZIRI ALIKUWA AKIMSEMA SANA VIBAYA MAGUFULI ....

NDIO MAANA TUNDU AMBAYE NI KABILA MOJA KAMKUMBUSHA KUWA AACHE UNAFIKI NA AKAMKUMBUSHA YEYE NDIO ALIKUWA HAISHI KULALAMIKA NAMNA MAGUFULI ANAVYOENDESHA NCHI KIKATILI ...
 
Huyo hakuwahi kujua majukumu yake, unakalia wizara yeye watu wasomi kama MAHAKIMU,MAJAJI, MUHIMILI WA MAHAKAMA upo chini yako lakini leo unahangaika kutwa nzima na mambo madogo madogo. Mwigulu kufanya kazi serikalini hawezi hata kidogo. Huyu alitakiwa abakie kwenye chama aendelee ku-editi video kama zile za kina Lwakatare.
Lakini si nasikia kasoma sana uchumi kumzidi hata professor kigoma malima?..!!
 
Back
Top Bottom