Mwigulu Nchemba hujaajiriwa na mitandao, majibu yao kwako yanadhalilisha nafasi yako ya Uwaziri. Kaa kimya...

Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Mwigulu Nchemba ni mwenzetu hapa JamiiForums, naamini amekusoma
 
Mwigulu Ni mtu mwenye akili sana anajua kusoma alama na kucheza mziki unaotakiwa
 
Mwigulu you don't have a dog in this fight.

This fight is, we the people against the dictator, so stay away! .

If you side with the dictator then you are legit to suffer our wrath.

Kwani huwezi kufanya kazi zako za uwaziri mpaka ujiweke kimbelembele ili uonekane unampigania?
 
Kuna kusoma na kuelimika..huyu kasoma lakini hajaelimika
Kasoma nini na lini wakati PhD alifanyiwa na Prof. Adolph Mkenda wakati huo akiwa Mkuu wa idara ya uchumi UDSM?! Na Mkenda alitumia nafasi hiyo kuondoka 'jalalani' aliteuliwa kuwa naibu Katibu Mkuu, Fedha na Mipango (2013?).
 
Mwigulu ni katili kuliko Magu, na yoyote anayepishana naye kimtazamo huwaza kumuua tu. Mwigulu amekuwa na sifa ya mauaji kuliko hayo mengine anayodhani anayeweza.
Ni kweli kwani hata vifo vya corona vimechangiwa na yeye kukataza kutangaza takwimu za vifo matokeo yake wananchi wakaichukulia poa corona wakaacha kuvaa barakoa kunawa mikono na kuendelea na salam za kushikana mikono ambazo ni kiambukizi kikubwa zaidi na zaidi, watu wote waliokufa kwa Corona lazima Dhambi zimwendee Mwigulu Nchemba kwa kusababisha hilo janga kuenea kwa kasi kubwa Nchini Tanzania
 
hivi ni kweli huyu Mwigulu ana PHD?soma maandishi yake hapa chini tafadhali

UNPATRIOTIC! Mng'ang'ana hawajatangaza corona ipo, Kwani corona ni kama mwewe au mwizi unaweza kuifukuza kwa mayowe!? Eti hawajatoa takwimu, Hivi tukifanya sensa kila asubuhi nani anaumwa na kutaja kama mafungulio ya wafungwa ndio wanapona? Tukitaja waliopoteza Maisha hata wa magonjwa mengine tuseme ni corona ili idadi iwe kubwa ndio corona itatuonea huruma iondoke? Tukiwatisha sana watu wakawa na hofu sana ndio corona itakimbia? Mataifa waliokuwa busy na lockdown, corona imekimbia? Waliokuwa busy na kutangaza vifo na orodha, corona imekimbia? Waliokuwa, wamefanikiwa kitu gani mpaka tuone tuliomtanguliza Mungu tumekosea! ETI HATUMWONI RAIS, MMEKWENDA OFISINI KWAKE MKAMKOSA? MLIKIWA NA APPOINTMENT NAYE

Kiongozi wa Nchi sio Parishworker Kanisani wala sio Mzee wa Kanisa kwamba alipangiwa zamu na hakuonekana!, Kiongozi wa Nchi Sio Mtangazaji wa TV kwamba alikuwa na kipindi Ila hakuonekana! Kiongozi wa Nchi sio kiongozi wa jogging clubs kwamba anatakiwa kuwa tu mtaani kila siku na kurusha selfie. TUACHE UPUUZI UPUUZI HATA KAMA HATUNA JAMBO LA KUFANYA. Umeichafua sana nchi umeshindwa, mmetamani tukwame mmeshindwa,Sasa mnaombea mabaya nchi yetu na Kiongozi wa Nchi yetu. SHERIA YEYOTE INAPOVUNJWA, HAKUNA CHA MIPAKA, WALA HAKUNA CHA MUDA KUPITA. KWA WANAOROPOKA ZINGATIENI KIFUNGU CHA 89 cha Penal code na 16 cha Cyber Crime, SERIKALI IPO KAZINI
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Linajipendekeza tu halina lolote sijuihata lilipataje hyo Phd
 
hivi ni kweli huyu Mwigulu ana PHD?soma maandishi yake hapa chini tafadhali

UNPATRIOTIC! Mng'ang'ana hawajatangaza corona ipo, Kwani corona ni kama mwewe au mwizi unaweza kuifukuza kwa mayowe!? Eti hawajatoa takwimu, Hivi tukifanya sensa kila asubuhi nani anaumwa na kutaja kama mafungulio ya wafungwa ndio wanapona? Tukitaja waliopoteza Maisha hata wa magonjwa mengine tuseme ni corona ili idadi iwe kubwa ndio corona itatuonea huruma iondoke? Tukiwatisha sana watu wakawa na hofu sana ndio corona itakimbia? Mataifa waliokuwa busy na lockdown, corona imekimbia? Waliokuwa busy na kutangaza vifo na orodha, corona imekimbia? Waliokuwa, wamefanikiwa kitu gani mpaka tuone tuliomtanguliza Mungu tumekosea! ETI HATUMWONI RAIS, MMEKWENDA OFISINI KWAKE MKAMKOSA? MLIKIWA NA APPOINTMENT NAYE

Kiongozi wa Nchi sio Parishworker Kanisani wala sio Mzee wa Kanisa kwamba alipangiwa zamu na hakuonekana!, Kiongozi wa Nchi Sio Mtangazaji wa TV kwamba alikuwa na kipindi Ila hakuonekana! Kiongozi wa Nchi sio kiongozi wa jogging clubs kwamba anatakiwa kuwa tu mtaani kila siku na kurusha selfie. TUACHE UPUUZI UPUUZI HATA KAMA HATUNA JAMBO LA KUFANYA. Umeichafua sana nchi umeshindwa, mmetamani tukwame mmeshindwa,Sasa mnaombea mabaya nchi yetu na Kiongozi wa Nchi yetu. SHERIA YEYOTE INAPOVUNJWA, HAKUNA CHA MIPAKA, WALA HAKUNA CHA MUDA KUPITA. KWA WANAOROPOKA ZINGATIENI KIFUNGU CHA 89 cha Penal code na 16 cha Cyber Crime, SERIKALI IPO KAZINI
Mwigulu Nchemba,PHD holder😏
 
PhD za uswahilini hizi...
giphy.gif
 
Huyo Mwigulu ni Rais wa Jamhuri ya Mawe na Madaraja
 
PhD inaweza kuwa ina maana mbili ya kwanza ni Philosophiae Doctor na ya pili ni Pampous headed dweeb.Ukiwa na uwezo wa kuchanganua mambo utajua PhD ya mwigulu ni ipi kati ya hizo mbili
 
Back
Top Bottom