Unaona kila mtu maskini kama ulikotoka kwa sababu upo kwenye pay roll yao siyo!Mwandishi unaonekana unaishi kwenye dimbwi la umasikini mkubwa sana
Unafananisha Magufuli na Mwigulu Huyu mwenye singinda big star Mwigulu Hana uzalendo wowote bora mia Nchimbi japokua nae huwa ni mnafiki lakini sio MwiguluHayati JPM alituambia tupige mbizi ikiwa hatuna nauli ya kuvukia pale pantoni, ina maana na yeye uzalendo wake unatiliwa shaka kisa kauli yake tata?.
Tupunguze nongwa na maneno ya wivu.
Bora aliesema wapige mbizi lakini hakutaka kuwafukuza wananchi wake nchini kama aliesema twende burundiHayati JPM alituambia tupige mbizi ikiwa hatuna nauli ya kuvukia pale pantoni, ina maana na yeye uzalendo wake unatiliwa shaka kisa kauli yake tata?.
Tupunguze nongwa na maneno ya wivu.
Muambie Mwigulu aache ujinga, hana mvuto wowote. Anajifanya kumuiga dhalimu Magufuli akitegemea ndio ataonekana mchapa kazi. Huyo ni kiongozi muovu wa muda mrefu anafahamika. Hata haya makundi ya utekaji yanayoundwa na rais kuteka na kuua wakosoaji yeye ni muasisi wa michezo hiyo.Hayati JPM alituambia tupige mbizi ikiwa hatuna nauli ya kuvukia pale pantoni, ina maana na yeye uzalendo wake unatiliwa shaka kisa kauli yake tata?.
Tupunguze nongwa na maneno ya wivu.
Hili fisadi papa linataka kujiweka daraja moja na Magufuli, atawaongipea washamba wenzake kama kapuku na chawa mbobevu Lucas Mwashambwa lakini wenye akili tunamuona mpuuzi tu.Mwigulu Nchemba huna credilibity yoyote ya kujifanya mzalendo zaidi ya kufanya maigizo kuigiza uzalendo Wewe ndo uliwambia wananchi maskini baada ya kulalamikia tozo ukasema wananchi waende Burundi, wewe una uzalendo gani?
Mmekuja na staili ya kumuigiza mzalendo Magufuli mtaokota wajinga wewe ni team mtandao ni kijana wao mpendwa bila mtandao usingeweza kuwa Waziri Mkuu
Punguza maigizo wote tunajua hii serikali ya wapigaji wazalendo kama wakina Khasimu Majaliwa hawakupendwa kwa hiyo acha maigizo
Huu usanii anaofanya mwanzilishi marehemu Mrema aliuweza zaidi. Akaja Magufuli na Makonda lakini hakuna kilichobadilika. Leo huyu mshamba naye anajaribu kuiga. Nchi haiongozwi kwa kutembea na kusikiliza kero. Hao wakuu wa mikoa na wilaya etc wako kufanya nini?Mwigulu Nchemba huna credilibity yoyote ya kujifanya mzalendo zaidi ya kufanya maigizo kuigiza uzalendo Wewe ndo uliwambia wananchi maskini baada ya kulalamikia tozo ukasema wananchi waende Burundi, wewe una uzalendo gani?
Mmekuja na staili ya kumuigiza mzalendo Magufuli mtaokota wajinga wewe ni team mtandao ni kijana wao mpendwa bila mtandao usingeweza kuwa Waziri Mkuu
Punguza maigizo wote tunajua hii serikali ya wapigaji wazalendo kama wakina Khasimu Majaliwa hawakupendwa kwa hiyo acha maigizo
Ni upumbavu tuHuu usanii anaofanya mwanzilishi marehemu Mrema aliuweza zaidi. Akaja Magufuli na Makonda lakini hakuna kilichobadilika. Leo huyu mshamba naye anajaribu kuiga. Nchi haiongozwi kwa kutembea na kusikiliza kero. Hao wakuu wa mikoa na wilaya etc wako kufanya nini?
Usanii mavi anafanyaHuu usanii anaofanya mwanzilishi marehemu Mrema aliuweza zaidi. Akaja Magufuli na Makonda lakini hakuna kilichobadilika. Leo huyu mshamba naye anajaribu kuiga. Nchi haiongozwi kwa kutembea na kusikiliza kero. Hao wakuu wa mikoa na wilaya etc wako kufanya nini?
Tangia lini na wewe umekuwa na akili? Hivi na wewe unajihesabu katika watu wenye utimamu wa akili kweli?Hili fisadi papa linataka kujiweka daraja moja na Magufuli, atawaongipea washamba wenzake kama kapuku na chawa mbobevu Lucas Mwashambwa lakini wenye akili tunamuona mpuuzi tu.
Wivu tu ndio unaokusumbua baada ya kuona akiendelea kuchanja mbuga na kukubalika kwa watanzania wanyongeUsanii mavi anafanya
Jitu kama wewe hata ukiuwawa ni sawa tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata MbinguniRais wa mawe fisadi muuaji mwigulu michembe kiama chako kinakuja kaage kwenu