Mwigulu Nchemba huna uzalendo wowote, haya Maigizo yako utawapata wajinga na wapumbavu

Jiwe mwenyewe ndio chanzo kimojawapo cha matatizo makubwa yanayotukabili mpaka sasa.
 
Hamtaweza kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Daktari Mwigulu Lameck Nchemba. Ambaye kila mtanzania mwenye akili Timamu anajua vyema uzalendo wake na uadilifu wake. Kila mmoja anafahamu ya kuwa tangia ameanza utumishi katika Taifa hili kama mbunge na waziri hajawahi Kugusa hata mia moja kwa manufaa yake binafsi. Hajawahi kukutwa na hatia ama kosa la kuiba pesa za umma.

Kila mmoja anafahamu ni Mtu safi na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa letu. Ndio maana mamilioni kwa mamilioni ya watanzania wanamuita Kwa jina la Mr Clean
Mwalimu Nyerere aliesema upumbavu ni sawa na mtu kua mfupi au mrefu mjinga anaweza kuelimishwa na ujinga ukamtoka. Tunaitaji kizazi jeuri cha kuhoji sio kizazi cha ndio bwana mkubwa tunaitaji kizazi cha kuasi dhidi ya mifumo kandamizi wewe uko wapi kati ya ayo niliondika hapo?
 
Mwigulu Nchemba huna credilibity yoyote ya kujifanya mzalendo zaidi ya kufanya maigizo kuigiza uzalendo Wewe ndo uliwambia wananchi maskini baada ya kulalamikia tozo ukasema wananchi waende Burundi, wewe una uzalendo gani?

Mmekuja na staili ya kumuigiza mzalendo Magufuli mtaokota wajinga wewe ni team mtandao ni kijana wao mpendwa bila mtandao usingeweza kuwa Waziri Mkuu

Punguza maigizo wote tunajua hii serikali ya wapigaji wazalendo kama wakina Khasimu Majaliwa hawakupendwa kwa hiyo acha maigizo
kaa mkao wa kutulia mwache apige kazi kama ni maigizo itafahamika, ila kwasasa sisi wananchi tunaimani na Mwigulu. Mwigulu piga kazi Wanyonge tupo nyuma yako.
 
Jiwe mwenyewe ndio chanzo kimojawapo cha matatizo makubwa yanayotukabili mpaka sasa.
Magufuli alikua
kaa mkao wa kutulia mwache apige kazi kama ni maigizo itafahamika, ila kwasasa sisi wananchi tunaimani na Mwigulu. Mwigulu piga kazi Wanyonge tupo nyuma yako.
Toka lini serikali hii ikawa ya mwanyonge mliopiga watoto wao risasi kisa ayo madaraka mlionyakua mikononi mwa wananchi kwa kupitia police na vyombo coyote vya dora wananchi naitaji kupata kurudishiwa madaraka yao kuchagua viongozi wanaowataka sio genge la wahuni ambalo sasa limepora power kupitia vyombo vya dola
 
Jiwe alipataje madaraka 2020??
 
For sure he doesn't look like a Prime Minister.... Very dubio
 
Mwigulu Nchemba huna credilibity yoyote ya kujifanya mzalendo zaidi ya kufanya maigizo kuigiza uzalendo Wewe ndo uliwambia wananchi maskini baada ya kulalamikia tozo ukasema wananchi waende Burundi, wewe una uzalendo gani?

Mmekuja na staili ya kumuigiza mzalendo Magufuli mtaokota wajinga wewe ni team mtandao ni kijana wao mpendwa bila mtandao usingeweza kuwa Waziri Mkuu

Punguza maigizo wote tunajua hii serikali ya wapigaji wazalendo kama wakina Khasimu Majaliwa hawakupendwa kwa hiyo acha maigizo
Una mentality za kimasikini
 
Jiwe alipataje madaraka 2020??
Bora hata jiwe uchaguzi ulifanyika japokua nae alipora Magufuli alikua anakubalikaa sana na ushawaishi ni uoga wake ndo ulipelekea kua mdokozi ila hawa ni aibu
 
2020 Hakukuwa na uchaguzi kama ambavyo 2025 hakukuwa na uchaguzi.
 
Anajitahidi sana kujifanya ni mwadilifu na mzalendo. 😊
Lakini ndio hivyo, inashindikana. Uzalendo sio maskafu na matai ya bendera. Watu wanakuelewa bwana PM!
Wapo desperate, yeye na bosi wake, bora Mjomba Ema anaeleweka kiana.
 
Magufuli alikua

Toka lini serikali hii ikawa ya mwanyonge mliopiga watoto wao risasi kisa ayo madaraka mlionyakua mikononi mwa wananchi kwa kupitia police na vyombo coyote vya dora wananchi naitaji kupata kurudishiwa madaraka yao kuchagua viongozi wanaowataka sio genge la wahuni ambalo sasa limepora power kupitia vyombo vya dola
lete serikali yako twende nayo, kwasasa iliyopo ndo tunaenda nayo hvo hvo.. wewe kajifungie ndani ndugu naona bado upo usingizini.
 
Mwigulu nchemba ni mmoja kati ya viongozi washamba sana hana mvuto wowote wa kisiasa halafu liigizaji likubwa sana .
Hili kuna watu liliwapa uraia wa tanzania ili wachezee singida .
Mmoja ya zerobrain ni huyu pm
 
Unafananisha Magufuli na Mwigulu Huyu mwenye singinda big star Mwigulu Hana uzalendo wowote bora mia Nchimbi japokua nae huwa ni mnafiki lakini sio Mwigulu
Unajua JPM aliacha mali nyingi kiasi gani kwa watoto wake?. Tafuta taarifa kabla hujamsifia mtu mpaka ukapitiliza.
 
Muambie Mwigulu aache ujinga, hana mvuto wowote. Anajifanya kumuiga dhalimu Magufuli akitegemea ndio ataonekana mchapa kazi. Huyo ni kiongozi muovu wa muda mrefu anafahamika. Hata haya makundi ya utekaji yanayoundwa na rais kuteka na kuua wakosoaji yeye ni muasisi wa michezo hiyo.
Huna ushahidi wowote kuhusu hayo makundi ya mauaji, ni sawa na zile tuhuma kwamba Mbowe anafanya matukio ya kinyama.

Hataki kufanana na JPM anakula sahani moja na wavivu pamoja na wezi wa mali za umma huko tamisemi na serikalini kwa ujumla.
 
Wezi wa mali za umma wako kweye ripoti za CAG ambazo Mwigulu hajawahi kufanya lolote la maana. Hapo anacheza maigizo ya kitoto. Siasa za hadaa zilishapitwa na wakati.
 
Kuna watu wanakula mema ya hii nchi kwa suti ya uzalendo. Tukumbukeni wazalendo wenzenu tupo huku Butiama
 
Back
Top Bottom