Mwigulu Nchemba huna uzalendo wowote, haya Maigizo yako utawapata wajinga na wapumbavu

Mwigulu Nchemba huna credilibity yoyote ya kujifanya mzalendo zaidi ya kufanya maigizo kuigiza uzalendo Wewe ndo uliwambia wananchi maskini baada ya kulalamikia tozo ukasema wananchi waende Burundi, wewe una uzalendo gani?

Mmekuja na staili ya kumuigiza mzalendo Magufuli mtaokota wajinga wewe ni team mtandao ni kijana wao mpendwa bila mtandao usingeweza kuwa Waziri Mkuu

Punguza maigizo wote tunajua hii serikali ya wapigaji wazalendo kama wakina Khasimu Majaliwa hawakupendwa kwa hiyo acha maigizo
CHADEMA mmesusa kushiriki siasa za nchi, sasa waacheni wenye utayari wa kuongozwa na CCM washiriki siasa hizo.

Kumuita mtu mpigaji wakati huwezi kuweka ushahidi ni siasa zile zile chafu ambazo hazimsaidii mtu yoyote.
 
Usichanganye siasa na kushiriki chaguzi za kishenzi. Huenda hujui siasa ni nini.
Kwako wewe CHADEMA chaguzi za kishenzi kwa mamilioni ya watanzania wanaelewa maana na faida ya uchaguzi mkuu.

Nyinyi endeleeni kususa wengine mamilioni wapo kwenye michakato ya kisiasa kama kawaida.
 
Viongozi wa TZ ni SINEMA ZETU namba 2.

Hawezi kufanya jambo kama halina maslahi kwako ni aidha kujikosha kisiasa ama kiuchumi.
Yaani itokee jambo ambalo linafaidisha watz milioni 60 ama yeye na familia yake basi atachagua upande wa yeye na familia yake.
Ukiona kafanya upande mwingine basi kuna faida zisizooenakana + sifa za kisiasa
 
Mwigulu waziri mkuu anaiongoza serikali halali, Mungu akipenda yupo mpaka 2030.
Serekali ya kisheria, na sio serekali halali. Uhalali unatokana kwa ridhaa ya wananchi na sio kwa mauaji na kupika idadi ya kura. Hata Traore wa Burkina Faso ni rais, ameingiaje ndio issue sio kuwa kiongozi.
 
Kama mmeanza kumuimba Kuna kitu anafanya kweli

Ushauri ni kwamba asirudi nyuma njia aliyochagua ni ngumu haipendi maigizo

Kuna siku atajikuta yupo peke yake
 
Tunamwambia maigizo sio mazuri
 
Serekali ya kisheria, na sio serekali halali. Uhalali unatokana kwa ridhaa ya wananchi na sio kwa mauaji na kupika idadi ya kura. Hata Traore wa Burkina Faso ni rais, ameingiaje ndio issue sio kuwa kiongozi.
Sisi tulioamka mapema kwenda kupiga kura tumeipa uhalali serikali kufanya inayoyafanya muda huu. Wakati sisi tunahangaika kupiga kura wengi wenu mlikuwa mnaiba mitungi ya gesi na kufanya wizi na uhuni mwingine.
 
Hakuna kura zilizopigwa acha uhuni
 
Hakuna kura zilizopigwa acha uhuni
Mbezi Beach tulipiga kura, huko mikoani sehemu nyingi zilipigwa kura na kuhesabiwa.

Mikoa mitano katika baadhi ya maeneo palikuwa na vurugu, Dar, Mbeya, Mwanza, Arusha na baadhi ya sehemu za Songwe, mikoa yote iliyobakia uchaguzi ulifanyika kama kawaida.
 
Wadanganye wapumbavu
 
Sisi tulioamka mapema kwenda kupiga kura tumeipa uhalali serikali kufanya inayoyafanya muda huu. Wakati sisi tunahangaika kupiga kura wengi wenu mlikuwa mnaiba mitungi ya gesi na kufanya wizi na uhuni mwingine.
Kwamba sisi hatukuoana mabox ya kura za wizi, ama hatujui watu waliopiga kura siku moja kabla, na kujaza matokeo ya uongo?
 
Achana na huyo mpumbavu
 
Back
Top Bottom