Vijana wa BBT Mwanza wajazwa mabilioni kwa maana ya mtaji - endeleeni kuishi kwa kujipa umuhimu wakati wapo vijana wanaopiga kura kwa sababu maalum huko Mwanza.Kwamba sisi hatukuoana mabox ya kura za wizi, ama hatujui watu waliopiga kura siku moja kabla, na kujaza matokeo ya uongo?
Hizo wanazopewa ni kodi za umma sio hisani ya ccm. Hata ikiingia serekali ya kijeshi watazipata tu.Vijana wa BBT Mwanza wajazwa mabilioni kwa maana ya mtaji - endeleeni kuishi kwa kujipa umuhimu wakati wapo vijana wanaopiga kura kwa sababu maalum huko Mwanza.
Mwigulu Nchemba huna credilibity yoyote ya kujifanya mzalendo zaidi ya kufanya maigizo kuigiza uzalendo Wewe ndo uliwambia wananchi maskini baada ya kulalamikia tozo ukasema wananchi waende Burundi, wewe una uzalendo gani?
Mmekuja na staili ya kumuigiza mzalendo Magufuli mtaokota wajinga wewe ni team mtandao ni kijana wao mpendwa bila mtandao usingeweza kuwa Waziri Mkuu
Punguza maigizo wote tunajua hii serikali ya wapigaji wazalendo kama wakina Khasimu Majaliwa hawakupendwa kwa hiyo acha maigizo