Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Wezi kuwepo kwenye report ilianza tangu wakati wa Nyerere awamu ya kwanza, sio tatizo la Mwigulu peke yake.Wezi wa mali za umma wako kweye ripoti za CAG ambazo Mwigulu hajawahi kufanya lolote la maana. Hapo anacheza maigizo ya kitoto. Siasa za hadaa zilishapitwa na wakati.
Njoo unibong'olee uone kama nitakosea kukuweka kitu. Mpuuzi mmoja wewe.Tangia lini na wewe umekuwa na akili? Hivi na wewe unajihesabu katika watu wenye utimamu wa akili kweli?
Jaribisha uoneJitu kama wewe hata ukiuwawa ni sawa tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Sasa anapouza sura huko anakotembea kuwa anapambana na wezi ni ili iweje kama wizi ni wa toka enzi za Nyerere?Wezi kuwepo kwenye report ilianza tangu wakati wa Nyerere awamu ya kwanza, sio tatizo la Mwigulu peke yake.
Kweli kabisa. Hawa viongozi wa chini wanafanya nini? SI waondolewe TU? Kwanza ni vyeo vya kikoloni. Nchi ya hovyo sana hii!Huu usanii anaofanya mwanzilishi marehemu Mrema aliuweza zaidi. Akaja Magufuli na Makonda lakini hakuna kilichobadilika. Leo huyu mshamba naye anajaribu kuiga. Nchi haiongozwi kwa kutembea na kusikiliza kero. Hao wakuu wa mikoa na wilaya etc wako kufanya nini?
Kupambana na wizi ni mchakato usiokwisha siku zote upo.Sasa anapouza sura huko anakotembea kuwa anapambana na wezi ni ili iweje kama wizi ni wa toka enzi za Nyerere?
Nani amekwambia ni mchakato unaokwisha, nimekuambia badala ya Mwigulu kuleta hadaa za kisiasa, muambieni taarifa za CAG za wizi zipo na vielelezo vipo. Achukue hiyo ripoti afanyie kazi sio hayo maigizo ya kitoto. Unakwama wapi chawa?Kupambana na wizi ni mchakato usiokwisha siku zote upo.
Haya ndio mawazo ya watu wa CHADEMA!!, yanachekesha sana.
Yaliyoandikwa kwenye report ya CAG yana namna yake ya kuyashughulikia, hayo anayoyasikia huko mtaani pia yana namna nyingine ya kuyatatua.Nani amekwambia ni mchakato unaokwisha, nimekuambia badala ya Mwigulu kuleta hadaa za kisiasa, muambieni taarifa za CAG za wizi zipo na vielelezo vipo. Achukue hiyo ripoti afanyie kazi sio hayo maigizo ya kitoto. Unakwama wapi chawa?
Yeye alipaswa kudeal na hayo yaliyo kwenye mfumo rasmi, hayo ya huko kwenye majukwaa ya kisiasa ni hadaa za bei rahisi, wala hawezi kuyapatia utatuzi wa kweli.Yaliyoandikwa kwenye report ya CAG yana namna yake ya kuyashughulikia, hayo anayoyasikia huko mtaani pia yana namna nyingine ya kuyatatua.
JPM alikuwa anasimama na kuongea na watu huko njiani, ina maana CAG alikuwa hatoi report kwa wakati ule alipowasikiliza watu na shida zao?.
CHADEMA mnakosa uzoefu wa kiuongozi matokeo yake mnaishia kuja na vioja humu jukwaani.
Singida BS imeajiri watu wengi kupitia yeye,,,hivo una kila sababu ya kumpongeza kuliko kumshutumu kwa anayofanya,,,Unafananisha Magufuli na Mwigulu Huyu mwenye singinda big star Mwigulu Hana uzalendo wowote bora mia Nchimbi japokua nae huwa ni mnafiki lakini sio Mwigulu
Mwigulu ni miongoni mwa watu ambao huwa nawaona wana akili ndogo sana , halafu kuna wajinga fulani wanamfanisha na magufuliMwigulu Nchemba huna credilibity yoyote ya kujifanya mzalendo zaidi ya kufanya maigizo kuigiza uzalendo Wewe ndo uliwambia wananchi maskini baada ya kulalamikia tozo ukasema wananchi waende Burundi, wewe una uzalendo gani?
Mmekuja na staili ya kumuigiza mzalendo Magufuli mtaokota wajinga wewe ni team mtandao ni kijana wao mpendwa bila mtandao usingeweza kuwa Waziri Mkuu
Punguza maigizo wote tunajua hii serikali ya wapigaji wazalendo kama wakina Khasimu Majaliwa hawakupendwa kwa hiyo acha maigizo
Wewe ubongo wako uko mochwari siku nyingi anayebishana na wewe anabishana na maiti..Wivu tu ndio unaokusumbua baada ya kuona akiendelea kuchanja mbuga na kukubalika kwa watanzania wanyonge
Tafuta maana ya neno ziara, tatizo lenu kila kitu lazima muwe wabishi hata kama mnahitaji kuelimishwa.Yeye alipaswa kudeal na hayo yaliyo kwenye mfumo rasmi, hayo ya huko kwenye majukwaa ya kisiasa ni hadaa za bei rahisi, wala hawezi kuyapatia utatuzi wa kweli.
Alikuwa anasimama kuongea na watu au alikuwa anawahutibia? Unajua maana ya kuongea? Uzoefu wa kiuongozi sio hadaa, hicho afanyacho Mwigulu wala huhitaji elimu kubwa kujua ni ujinga uliopitwa na wakati.
Hatuwi wabishi, bali hatuna muda wa kuendekeza upuuzi.Tafuta maana ya neno ziara, tatizo lenu kila kitu lazima muwe wabishi hata kama mnahitaji kuelimishwa.
Hiyo ni ziara ya kikazi ya waziri mkuu. Hayo ni maagizo ya kikazi, huwezi kumpangia waziri mkuu afanye nini aache nini.