Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
CHADEMA mmesusa kushiriki siasa za nchi, sasa waacheni wenye utayari wa kuongozwa na CCM washiriki siasa hizo.Mwigulu Nchemba huna credilibity yoyote ya kujifanya mzalendo zaidi ya kufanya maigizo kuigiza uzalendo Wewe ndo uliwambia wananchi maskini baada ya kulalamikia tozo ukasema wananchi waende Burundi, wewe una uzalendo gani?
Mmekuja na staili ya kumuigiza mzalendo Magufuli mtaokota wajinga wewe ni team mtandao ni kijana wao mpendwa bila mtandao usingeweza kuwa Waziri Mkuu
Punguza maigizo wote tunajua hii serikali ya wapigaji wazalendo kama wakina Khasimu Majaliwa hawakupendwa kwa hiyo acha maigizo
Nyinyi mlizisusa siasa sasa waacheni wanaoziweza waendelee nazo.Hatuwi wabishi, bali hatuna muda wa kuendekeza upuuzi.
mpe ajira au mkopo ili anyamazeMwandishi unaonekana unaishi kwenye dimbwi la umasikini mkubwa sana
Usichanganye siasa na kushiriki chaguzi za kishenzi. Huenda hujui siasa ni nini.Nyinyi mlizisusa siasa sasa waacheni wanaoziweza waendelee nazo.
mpe ajira au mkopo wa fedha ili anyamazeUna mentality za kimasikini
Kwako wewe CHADEMA chaguzi za kishenzi kwa mamilioni ya watanzania wanaelewa maana na faida ya uchaguzi mkuu.Usichanganye siasa na kushiriki chaguzi za kishenzi. Huenda hujui siasa ni nini.
Mamilioni waligoma na uhalisia wa kugomea ushenzi huo ulionekana wazi siku ya uchaguzi.Kwako wewe CHADEMA chaguzi za kishenzi kwa mamilioni ya watanzania wanaelewa maana na faida ya uchaguzi mkuu.
Nyinyi endeleeni kususa wengine mamilioni wapo kwenye michakato ya kisiasa kama kawaida.
Mwigulu waziri mkuu anaiongoza serikali halali, Mungu akipenda yupo mpaka 2030.Mamilioni waligoma na uhalisia wa kugomea ushenzi huo ulionekana wazi siku ya uchaguzi.
Serekali ya kisheria, na sio serekali halali. Uhalali unatokana kwa ridhaa ya wananchi na sio kwa mauaji na kupika idadi ya kura. Hata Traore wa Burkina Faso ni rais, ameingiaje ndio issue sio kuwa kiongozi.Mwigulu waziri mkuu anaiongoza serikali halali, Mungu akipenda yupo mpaka 2030.
Akidumu njia Iyo Kuna siku atajikuta yupo peke yakeTunamwambia maigizo sio mazuri
Sisi tulioamka mapema kwenda kupiga kura tumeipa uhalali serikali kufanya inayoyafanya muda huu. Wakati sisi tunahangaika kupiga kura wengi wenu mlikuwa mnaiba mitungi ya gesi na kufanya wizi na uhuni mwingine.Serekali ya kisheria, na sio serekali halali. Uhalali unatokana kwa ridhaa ya wananchi na sio kwa mauaji na kupika idadi ya kura. Hata Traore wa Burkina Faso ni rais, ameingiaje ndio issue sio kuwa kiongozi.
Hakuna kura zilizopigwa acha uhuniSisi tulioamka mapema kwenda kupiga kura tumeipa uhalali serikali kufanya inayoyafanya muda huu. Wakati sisi tunahangaika kupiga kura wengi wenu mlikuwa mnaiba mitungi ya gesi na kufanya wizi na uhuni mwingine.
Mbezi Beach tulipiga kura, huko mikoani sehemu nyingi zilipigwa kura na kuhesabiwa.Hakuna kura zilizopigwa acha uhuni
Wadanganye wapumbavuMbezi Beach tulipiga kura, huko mikoani sehemu nyingi zilipigwa kura na kuhesabiwa.
Mikoa mitano katika baadhi ya maeneo palikuwa na vurugu, Dar, Mbeya, Mwanza, Arusha na baadhi ya sehemu za Songwe, mikoa yote iliyobakia uchaguzi ulifanyika kama kawaida.
Jiweke kwenye kundi hilo, tulipiga kura mapema asubuhi tukawaachieni nyinyi wezi wa mitungi ya gesi muendelee na vurugu zenu.Wadanganye wapumbavu
Kwamba sisi hatukuoana mabox ya kura za wizi, ama hatujui watu waliopiga kura siku moja kabla, na kujaza matokeo ya uongo?Sisi tulioamka mapema kwenda kupiga kura tumeipa uhalali serikali kufanya inayoyafanya muda huu. Wakati sisi tunahangaika kupiga kura wengi wenu mlikuwa mnaiba mitungi ya gesi na kufanya wizi na uhuni mwingine.