Mwigulu Nchemba huna uzalendo wowote, haya Maigizo yako utawapata wajinga na wapumbavu

Kwamba sisi hatukuoana mabox ya kura za wizi, ama hatujui watu waliopiga kura siku moja kabla, na kujaza matokeo ya uongo?
Vijana wa BBT Mwanza wajazwa mabilioni kwa maana ya mtaji - endeleeni kuishi kwa kujipa umuhimu wakati wapo vijana wanaopiga kura kwa sababu maalum huko Mwanza.
 

Uzalendo wa Mwigulu anadhani ni kuvaa Bendera ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…