Mwigulu Nchemba huwa nampongeza kwa jambo moja kuu alipo kuwa Naibu Wizara ya Fedha

Mwigulu Nchemba huwa nampongeza kwa jambo moja kuu alipo kuwa Naibu Wizara ya Fedha

polokwane

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Posts
3,361
Reaction score
5,842
Kitendo chake cha kuhamishia mishahara ya watumishi wa umma kulipwa mojankwa moja kupitia hazina kitendo kilicho wanyima ulaji ma afisa utumishi na wakurugenzi na wakuu wa idara aliweza sana sana

Naamini pia hata sasa ataiweza wizara hiyo bila shida.
 
Hilo jambo alifanya kwa weledi makubwa sana, liliziba mianya ya upigaji.
 
So sad, Mwigulu hana diplomasia ya uchumi. Atawaliza wengi.
 
So sad, Mwigulu hana diplomasia ya uchumi. Atawaliza wengi.
Tunacho jua mwigulu amesoma uchumi sasa hayo ya diplomasia ya uchumi mie siyajui ila nacho jua mwigulu aliwahi hudumu wizara ya fedha kama naibu waziri

na kati ya vitu vya kukumbukwa ni hicho cha kuhamishia mishahara ya watumishi wote ilipwe moja kwa moja toka hazina kwenda kwa mtumishi badalabya malipo kupitia kwa wakurugenzi na hivyo naimani pia ataweza kwa sasa .
 
Back
Top Bottom