- Thread starter
- #21
Kuna askari tutaambiwa wamechukuliwa hatua na mwigulu atatolewa kafara.Uchunguzi upi huo unaoendelea?
Hapo hakuna uchunguzi wala nini na mtu mzima Mwigulu Nchemba ataendelea kuwepo,
Kiuongozi ilitakiwa mpaka sasa asiwepo ofisini toka miezi kadhaa