babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,858
Jina lake tu hujalitendea justice, sembuse............#MWIGULU_MUST_GO,
#JUSTICE_FOR_ACQURINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lake tu hujalitendea justice, sembuse............#MWIGULU_MUST_GO,
#JUSTICE_FOR_ACQURINE
Liangilie yani wewe akili zipo kwenye makalioMange kawaingiza chaka.
Habari wana JF.
Habari ndio hiyo.
Uchunguzi dhidi ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha NIT ukikamilika taarifa za ndani zinasema huyu atatumbuliwa.
Ingawa mi naona tuna tatizo kubwa zaidi ya hapo.
Japo kuwajibishwa kwa Waziri ni njia mojawapo ya kuonesha kujali.
Kuwa wa kwanza kufahamu mwana JF.
Toka lini walikuwa na hoja???Kwa nini siku hizi CCM inatumia nguvu ya Polisi na NEC? Hoja zimeisha?