Tetesi: Mwigulu Nchemba kung'olewa uwaziri

Tetesi: Mwigulu Nchemba kung'olewa uwaziri

Status
Not open for further replies.
Damu ya yule binti mzuri itawalilia fisiem hasa mtulia na yule mkurugenz husika...time will tell mungu halali wala kusahau kama sisi
 
Hapa kinachotakiwa in kuvunja jeshi la polisi na kuajiri Vijana wanaomaliza mafunzo ya JKT kuliko kuendelea na jeshi lililojaa form four failures. Inawezekana Rais akiamua mbona Mwalimu Nyerere alivunja King Africa Rifle na kuunda JWTZ ambayo mpaka leo ipo na inafanya kazi kwa weledi na nidhamu kubwa.
 
Yeye ndie anaratibu haya mauwaji Tanzania kwa amri kutoka juu

Swissme
 
Hakuna cha kutumbuliwa MTU hapo acheni Usenge, hivi mnamjua Magufuli au mnamsikia
 
Haya mambo yataisha kama c kupungua cku uongozi wa juu wa cdm utakapobadilika, tatizo liko hapo kuna mambo yanashikizwa pasipo kuwa na Tija pengine hata kutojali matokeo na athali zake zitakuwaje.kushawishi watu wafanye maandamano wakati suala hilo lingeshughulikiwa kwa njia tofauti kabs na maandamano.
 
Habari wana JF.
Habari ndio hiyo.
Uchunguzi dhidi ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha NIT ukikamilika taarifa za ndani zinasema huyu atatumbuliwa.

Ingawa mi naona tuna tatizo kubwa zaidi ya hapo.
Japo kuwajibishwa kwa Waziri ni njia mojawapo ya kuonesha kujali.

Kuwa wa kwanza kufahamu mwana JF.[/QUOTE

TATIZO sio Waziri wa mambo ya ndani " KUANDAMANA NI HAKI YETU"...ccm wanazingua
 
Habari wana JF.
Habari ndio hiyo.
Uchunguzi dhidi ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha NIT ukikamilika taarifa za ndani zinasema huyu atatumbuliwa.

Ingawa mi naona tuna tatizo kubwa zaidi ya hapo.
Japo kuwajibishwa kwa Waziri ni njia mojawapo ya kuonesha kujali.

Kuwa wa kwanza kufahamu mwana JF.
Uchunguzi? Uchunguzi upi?
Hiyo ripoti itasema Mbowe, Halima Mdee na Salum Mwalimu ndio wamehusika. Period.
Nani afanye uchunguzi?
Si katika nchi hii!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom