Tetesi: Mwigulu Nchemba kung'olewa uwaziri

Status
Not open for further replies.
MWIGULU ACHIA NGAZI KWANI UWAZIRI WA BABA YAKOO !! MBONA MZEE WETU MWINYI ALIACHIA NGAZI BILA KULAZIMISHWA......... ! ! !
 
Mseme tu Magu kapata kaupenyo maana amemtamani mwigulu muda mtefu
 
Never, never, never haya yote yanatoka huko wasikojaribiwa. Never, never, never. Labda if the the opposite of the whole scenario would have happened instead, then you proposition that would have been possible!
Of course yana baraka zote toka juu. Na mwigulu anatolewa kafara ili kumpandisha bwana mkubwa nyota ya kisiasa. Ila mauaji yataendelea tu.

Jiulize kwa nini bwana mkubwa hajasikitika na kuwapa pole majeruhi wale waliopigwa risasi za miguu ..

Alisema acha wapigwe tu. Ni mnafiki sana
 
Mwigulu anafaa kuwa waziri wa fedha, huku kwenye usalama wa raia kwa kweli usalama unadorora
 
Mpelekeni mwenyekiti wenu polisi anatafutwa!!..wapuuzi nyie!
 
Wanaogopa kupigwa risasi, kutekwa na kuteswa mpaka kuuwawa na Ccm
 
Kwanini siku hizi Chadema inategemea nguvu ya Mange?hivi bavicha imekufa?
Yule kichwa wao hayupo, amechukuliwa na chama.
Plus mwanasheria bado anajiuguza mwenyewe kule ughaibuni,yule katibu wa mfukoni ndio hivyo tena, kijana wa kbamba hasomeki vizuri, huyu wa mbeya anakesi inamkabili,yule wa Iringa madiwani wanamsumbua, yule wa A.east tangu ishu ya mbwa mpaka leo haelewi kinachoendelea, na huyu mwenzie wa A town ndio kafyata mkia kiaina tangu ule utabiri ulipomfikisha ambako hakutarajia.
Yule wa kawe naye ndio hivyo tena, Gaindu alihakikisha amekula ban ya mwaka mzima.
Ambao wako huru kidogo ni mwenyekiti na mgombea uraisi, mwenyekiti anamaswali mengi kuliko majibu,
Mgombea uraisi ndio kabisaaaaaa naye mara ikulu mara uhamiaji akifanya photoshooting, na kwa sasa wameamua kumuingiza chaka na huyu mwalimu kwa makusudi, ila anya wei hizi siasa.............ngoja zzk arudi maana yuko mbioni kila dalili ameonesha za kutaka kurudi ulingoni ili wamtoe mwenyekiti.
 
Kwanini siku hizi Chadema inategemea nguvu ya Mange?hivi bavicha imekufa?
Mbona nawe ni follower wake mzuri tu na kila siku lazima umchungulie ili kupata yanayojiri kama hivi umetoka kumsoma hatukusemi? Au unaangalia kama ana fununu za hukumu ya mdogowako yule msagwaji? Mambo ya kizamani kweli kama vile umekulia kwa nyanyako! Yaani wewe umsome mwenyewe tu lakini wengine mmmh!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…