Tetesi: Mwigulu Nchemba kung'olewa uwaziri

Status
Not open for further replies.
Damu ya yule binti mzuri itawalilia fisiem hasa mtulia na yule mkurugenz husika...time will tell mungu halali wala kusahau kama sisi
 
Hapa kinachotakiwa in kuvunja jeshi la polisi na kuajiri Vijana wanaomaliza mafunzo ya JKT kuliko kuendelea na jeshi lililojaa form four failures. Inawezekana Rais akiamua mbona Mwalimu Nyerere alivunja King Africa Rifle na kuunda JWTZ ambayo mpaka leo ipo na inafanya kazi kwa weledi na nidhamu kubwa.
 
 
Yeye ndie anaratibu haya mauwaji Tanzania kwa amri kutoka juu




Swissme
 
Hakuna cha kutumbuliwa MTU hapo acheni Usenge, hivi mnamjua Magufuli au mnamsikia
 
Haya mambo yataisha kama c kupungua cku uongozi wa juu wa cdm utakapobadilika, tatizo liko hapo kuna mambo yanashikizwa pasipo kuwa na Tija pengine hata kutojali matokeo na athali zake zitakuwaje.kushawishi watu wafanye maandamano wakati suala hilo lingeshughulikiwa kwa njia tofauti kabs na maandamano.
 
 
Uchunguzi? Uchunguzi upi?
Hiyo ripoti itasema Mbowe, Halima Mdee na Salum Mwalimu ndio wamehusika. Period.
Nani afanye uchunguzi?
Si katika nchi hii!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…