Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kuwabebesha wananchi tozo na kodi nyingi sio suluhisho lenye tija la kuiongezea nchi mapato, ni kuendelea kuwatesa.
Mwigulu Nchemba anachojua ni kuongeza sifuri, hana ubunifu wowote ule. Kama akiendelea kufanya anayoyafanya sababu ndo mwisho wake wa kufikiri ulipofikia, atawatesa sana wananchi wa kawaida.
Ili nchi iendelee na iwe na wigo mpana wa mapato, inabidi itumie kati ya chaguo zifuatazo;-
Option 1
Colonialism na imperialism: Hili ni chaguo ambalo walitumia nchi za Ulaya kunyonya nchi nyingine na iliwafanikisha sana. Ila kwa sasa hivi huwezi kutumia colonialism tena, kwa hiyo Tanzania haiwez itumia hii option.
Option ya 2
Natural resources: Ili uendelee unatakiwa utumie rasilimali zako vizuri hio, ndo option ambayo wametumia nchi za kiarabu na imewafanikisha sana. Tanzania haina resources za kutosha kwa hiyo hii option ni ngumu kutekeleza.
Option ya 3
Higher and concecutive economic growth: Mfano, Tanzania ili iendelee na ipate mapato mengi na maendeleo ya haraka, inatakiwa iwe na economic growth ya 12-15% annual concecutive kwa mda usiopungua miaka 25. China ndiyo imetumia chaguo hili, lakin ukuaji wa uchumi wa sasa ambao ni kati ya asilimia 4-7 ni mdogo sana.