Mambo mengi sana inayofanya serikali ni kama hayafanyiwi analysis inavyopaswa..tuliona wakati ule mtu anabuni vitambulisho vya machinga vya 20,000 havina picha, hakuna jina, hakuna jinsia nk..utaitaje hicho ni kitambulisho?
Sasa hivi hata haieleweki vimefia wapi..wizara yote ya fedha hata na benki kuu ni kama kumejaa wababaishaji tu, wako pale kulipwa mishahara tu na majigambo ya vyeti..lakini hakuna lolote, mkurugenzi mkazi wa WB 2015 aliwaambia serikali Tanzania ina mfumo mbovu kabisa wa kodi hapa africa, inazidiwa hata na Burundi..hapo ndio tulipo kila siku tozo, dawa ya hawa ni kufungua kesi mahakama hata ya africa kupinga huu ujinga w tozo zisizokuwa na kichwa wala miguu..
Pascal Mayala fungua kesi kupinga hizi tozo tutakulipa!