Mwigulu Nchemba: Maskini Hakopi na Hakopesheki.Tunakopa Kwa sababu Tanzania ni Tajiri.

Mwigulu Nchemba: Maskini Hakopi na Hakopesheki.Tunakopa Kwa sababu Tanzania ni Tajiri.

Akihotimisha Hotuba ya Bajeti, Waziri wa Fedha De.Mwigulu Nchemba amesema Nchi inakopa Kwa sababu ni Tajiri Kwa kuwa maskini hawezi kopa,kukopeshwa maana haaminiki.

Dr.Mwigulu amesema Nchi zote Zenye Uchumi mkubwa ndio Zina Madeni makubwa kuanzia Ulaya,Marekani Hadi Afrika kwani ndio utaratibu hata wafanyabiashara wakubwa Wana Madeni makubwa.Maskini Hakopi.

Amesema hakuna mahala Serikali inakopa Ili ifanyie matumizi ya kawaida Bali miradi ya Maendeleo kwenye sekta zote za jamii na Uchumi.

Amesema haitakuja tokea Mtanzania atagongewa nyumba kudaiwa deni kwani mikopo ni sehemu ya matumizi ya serikali kama kawaida.

View: https://www.instagram.com/reel/C8rSlz3JWUX/?igsh=ZXRjNjJ3cjg4dzR0

My Take
Asante Mwigulu Kwa kuwapa Elimu wasioelewa maana ya Nchi kukopa.

Huwezi Jenga Sgr Kwa kudunduliza hela za wafanyabiashara wa Kariakoo Wanaogoma ila unaweza lipa deni Kwa kudunduliza.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1805932264779342120?t=aA1tooiXPMexpPKv91rP9g&s=09

Kukatwa pesa kila ukituma pesa si ndio kugongewa huko?
 
Hivi wanavyokopa, bond huwa wanaweka nini kudhamini mkopo huo? Au ukisha default mkopeshaji anachagua apige nini mnada katika nchi?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Ni Daktari wa uchumi,Hakubahatisha kupata Firstclass ya uchumi pale UDSM, serikali haikukosea kumpatia kazi pale Benki kuu ya Tanzania yaani BOT, Mheshimiwa Daktari Mzee Jakaya Kikwete hakukosea kumpatia Unaibu waziri wizara ya Fedha, lakini pia Daktari Rais Samia Suluhu Hasssan hawakukosea wala kufanya kosa kumpa Uwaziri wa Fedha huyu Mwamba.

Huyu Mwamba anaujuwa uchumi, uchumi na kunanuni zake zipo kichwani mwake,anajuwa namna ya kueleza na kuelezea uchumi kwa lugha rahisi ya kueleweka hata kwa mtu ambaye hajasoma kabisa masuala ya Uchumi anamuelewa vizuri kabisa.

Akiwa Bungeni huku akishangiliwa na Bunge zima utafikiri Rais ameingia kuzindua Bunge ,ameelezea kwa undani na kwa ufasaha mkubwa sana juu ya Deni la Taifa na kwanini kama Taifa tunakopa na faida za kukopa.

Amesema ya kuwa Tanzania Tunakopa kwa sababu Tunaaminika na tuna uwezo wa kulipa mkopo wote,amesema ya kuwa Maskini hawezi akakopesheka kwa sababu ni ngumu kuaminika linapokuja suala la ulipaji,lakini sisi tunao uwezo wa kulipa na pia Deni letu ni himilivu.

Akasema tunakopa ili kutekeleza miradi mikubwa mikubwa na kimkakati ili kuimaliza ndani ya muda mfupi na kuanza kurejesha marejesho ya mkopo. Akasema mfano mradi wa SGR unaojengwa kutoka Dar mpaka kigoma kama tungesema tutumie makusanyo ya ndani, basi tungeweza kusubiri mpaka miaka 50 ndio tukamilishe jambo ambalo ni gumu sana, lakini ili uharakishe mradi unakwenda unakopa pesa na kumlipa mkandarasi ili akamilishe mradi ndani ya muda mfupi.

Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba amesisitiza kuwa Nchi haikopi kwa ajili ya matumizi ya kawaida au anasa bali kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo ile mikubwa.na akasema ya kuwa kwa kadri unavyokuwa na uchumi mkubwa ndio unavyokuwa na Deni kubwa kwa sababu unakuwa na uwezo mkubwa wa kukopa kiasi kikubwa na kuaminika.akatolea mfano Nchi zenye utajiri mkubwa hapa Duniani ndio zenye madeni makubwa sana ukilinganisha na zile masikini.vivyo hivyo kwa mtu mwenye utajiri mkubwa na mabiashara makubwa atakuwa a deni kubwa ukilinganisha na yule mwenye kipato kidogo.

Akatolea mfano kuwa yeye deni lake haliwezi kuwa kubwa ukilinganisha na la Billionea josephu Kasheku Msukuma ambaye ni mfanyabishara mkubwa sana.

Kiukweli namuunga sana Mkono Mheshimiwa Mwigulu kwa NONDO kali Alizo zishusha Bungeni mpaka huku mitaani Watu wakasema kuwa huyu jamaa ni Mwamba kwelikweli wa masuala ya uchumi,na ndio maana uchumi wetu unaendelea kufanya vyema huku miradi mbalimbali ya maendeleo na kimkakati ikiendelea kutekelezwa vyema kabisa. Mheshimiwa Mwigulu kwa hakika wewe ni Mwamba wa uchumi kwelikweli na ndio maana Rais wetu mpendwa Anaendelea kukuamini kushikilia nafasi na wizara hiyo nyeti na moyo wa Taifa.

Angalia; mimi Lucas Hebel Mwashambwa siyo chawa wa mtu wala silipwi na mtu yeyote yule kumuandika humu jukwaani. Maana kumekuwa na katabia ka mtu nikimuandika utasikia mimi ni chawa wake mara nimehamia kwa fulani na kuhama kwa fulani. nilishasema mimi ni mzalendo na kuwaunga mkono wachapa kazi na wazalendo wa Taifa letu.

Niambie pamoja na Mheshimiwa Dkt Mwigulu kuwa katika nafasi nyeti ni lini umewahi kumsikia akihusishwa na scandal za rushwa? Ni wapi umewahi kumsikia akituhumiwa kuiba pesa za umma? Huyu ni msafi ,ni mtu clean kama ambavyo Watanzania wamekuwa wakimuita.ndio maana nimetumia vocha yangu kumuandika na siyo kununuliwa vocha.ukifanya vema mimi nakupa pongezi zako .sinaga wivu wala kinyongo wala chuki na mtu mimi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama anatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3026624
Hujapowa tu ....una ka Infinix Kako unaanza kutupigia kelele za uchawa hapa
 
Yes tunawapa Maliasili zetu ambazo tumeshindwa kuzitumia kukuza uchumi wetu. Tunazitumia m
Maliasili kupata mikopo ambayo pamoja na kuwapa maliasili zetu wazivune kwa faida bado na mkopo tunalipa! kweli wajinga ndio waliwao. Tena huyu aache kuongea upumbafu, ni serikali hii hii, yeye akiwa waziri wa fedha wameshindwa kuendesha biashara ya mabasi ya mwendo kasi! Yani aache upumbafu kabisa.
 
Akihotimisha Hotuba ya Bajeti, Waziri wa Fedha De.Mwigulu Nchemba amesema Nchi inakopa Kwa sababu ni Tajiri Kwa kuwa maskini hawezi kopa,kukopeshwa maana haaminiki.

Dr.Mwigulu amesema Nchi zote Zenye Uchumi mkubwa ndio Zina Madeni makubwa kuanzia Ulaya,Marekani Hadi Afrika kwani ndio utaratibu hata wafanyabiashara wakubwa Wana Madeni makubwa.Maskini Hakopi.

Amesema hakuna mahala Serikali inakopa Ili ifanyie matumizi ya kawaida Bali miradi ya Maendeleo kwenye sekta zote za jamii na Uchumi.

Amesema haitakuja tokea Mtanzania atagongewa nyumba kudaiwa deni kwani mikopo ni sehemu ya matumizi ya serikali kama kawaida.

View: https://www.instagram.com/reel/C8rSlz3JWUX/?igsh=ZXRjNjJ3cjg4dzR0

My Take
Asante Mwigulu Kwa kuwapa Elimu wasioelewa maana ya Nchi kukopa.

Huwezi Jenga Sgr Kwa kudunduliza hela za wafanyabiashara wa Kariakoo Wanaogoma ila unaweza lipa deni Kwa kudunduliza.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1805932264779342120?t=aA1tooiXPMexpPKv91rP9g&s=09

Nimesikiliza kwenye hiyo video na nina wasiwasi sana kama anajua jinsi haya madeni yanavyo fanya kazi...Akili yake imegota... yaani ni mpaka mtui akugongee mrango ndio ujue unadaiwa... hizi akili za maprofesa wa wapi?
 
Wewe unajua? Leta ujuaji wako hapa
 
Akihotimisha Hotuba ya Bajeti, Waziri wa Fedha De.Mwigulu Nchemba amesema Nchi inakopa Kwa sababu ni Tajiri Kwa kuwa maskini hawezi kopa,kukopeshwa maana haaminiki.

Dr.Mwigulu amesema Nchi zote Zenye Uchumi mkubwa ndio Zina Madeni makubwa kuanzia Ulaya,Marekani Hadi Afrika kwani ndio utaratibu hata wafanyabiashara wakubwa Wana Madeni makubwa.Maskini Hakopi.

Amesema hakuna mahala Serikali inakopa Ili ifanyie matumizi ya kawaida Bali miradi ya Maendeleo kwenye sekta zote za jamii na Uchumi.

Amesema haitakuja tokea Mtanzania atagongewa nyumba kudaiwa deni kwani mikopo ni sehemu ya matumizi ya serikali kama kawaida.

View: https://www.instagram.com/reel/C8rSlz3JWUX/?igsh=ZXRjNjJ3cjg4dzR0

My Take
Asante Mwigulu Kwa kuwapa Elimu wasioelewa maana ya Nchi kukopa.

Huwezi Jenga Sgr Kwa kudunduliza hela za wafanyabiashara wa Kariakoo Wanaogoma ila unaweza lipa deni Kwa kudunduliza.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1805932264779342120?t=aA1tooiXPMexpPKv91rP9g&s=09

Kiwango cha dharau kinachooneshwa na waziri Mwigulu kwa masikini hohe hae wa Tanzania ambao ni zaidi ya 25% kinastaajabisha sana
 
Wewe chawa mwambie huyo boss wako abadilishe kauli.Iko hivi hakuna binadamu ambaye akopesheki.Ata hao maskini wako anaaminiana na wanakopeshana wao kwa wao.Kinachokufanya upate mkopo sio kua tajiri bali dhamana au makubaliano unayoweka kwaajili ya huo mkopo na kiwango cha mkopo.Wanaotukopesha wanaangalia watapata faida gani kutoka kwetu wakishatukopesha.Siku zote wanaokopesha ndio wanaonufaika zaidi kuliko wanaokopa ndo maana kukopa sana sio sifa.kwasababu unakopa kwasababu una upungufu na upungufu unatokana nakushindwa kuzalisha ziada.Ndo maana watu wanahoji matumizi ya hizo pesa zinazokopwa kila mara.
Deficit spending huyu mpumbavu asiye na akili " Miguu ya Chemba " anaropoka kusifia hali mbaya kama hiyo ,na malaymen maiti wa Tz wanakenua ,bila kujua implications za kuwa na big Government deficit spending na debt .
Hamna nchi ambayo imewahi kukuza uchumi wake na kukopa , ni akili za mpumbavu ndio huwaza kukopa ni solution ya kudumu ya matatizo ya kiuchumi yanayoikumba nchi .
Nchi zinatajirika kwa kuzalisha na kuuza zaidi , kufanya biashara na kuchochea sera nzuri zinazoongoza tija na kasi ya uzalishaji na kuimarisha vipato vya raia .
Mbwa kabisa Mwigulu na mataahira wenzake wanaoona anaongea point
 
Mwisho wa siku yanaishia kuongeza mzigo wa kodi za uporaji wa kijambazi kwa mwananchi na kuongeza umasikini katika jamii .
Ushenzi uliopitiliza
 
Ukiangalia bunge la Marekani mule kwenye senate na Congress wanavyoraruana kisa kuhusu matumizi ya serikali kwa kila sent inayotumiwa na federal government ya Marekani , halafu ukiangalia mkusanyiko wa nguruwe pori pale Dodoma katika nchi masikini na hopeless kama Tanzania wakiweka makalio yao na kujamba kwenye viti na kugonga meza mule bungeni kuidhinisha upuuzi , huwa napata hasira sana.
Huwa najaa jazba na Natamani nivae mabomu ya kujitoa mhanga niende kufanya massacre pale na kutokomeza ile mbegu ya ibilisi
 
Back
Top Bottom